Selfika na JF: Snap it. Show it

Sisi tulikua tunaenda mpaka watu wote wanaisha saa kumi na mbili asubuhi ndo tunatoka tunarudi hostel kulala kidogo tunarudi chuo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unajua yale maisha ya umetoka shule umeenda hostel na hela ya bodi ipo uhuru kama woteeee.
Niliwahi kwenda club mara moja tena uzeeni, na niliishia kusinzia tu[emoji134][emoji134]
 
Wala sina hangover nakua nachoka tu kuona dunia.
Kuna siku naamka na kisirani sitakagi kuona mtu kabisa. Najifungia ndani mpaka wananisahau
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hufai wewe
 
Yaani mimi kabla hata kuku hawajalala mie shajifungia ndani[emoji134][emoji134][emoji134]
Halafu hata sitamani. Kuna kaka yangu ananiitaga "utumbo" eti najifungia sana ndani.

Mdogo wangu usiniambie nawe umerithi?
Utumbo... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Atoto aka UTUMBO[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]... Utumbo wa... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…