Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,194
Yaani nimefurahi mno[emoji1787]Nilijua tu utafanya sherehe
Yaani nimefurahi mno[emoji1787]Nilijua tu utafanya sherehe
Weka Piyemu au unataka uweke hapa???Eeh niweke wapi tena namba
Aahh!wewe bwana acha zako[emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtakaopitwa ntawanyanyasa
Hahahahahahahaha!Mama mchungaji kwenu, mimi hanifanyii matendo ya kitumishi hata kidogo[emoji1787][emoji1787]
Kwa Leo inatosha wazee sisi kuanika sura zetu humuu!!ngoja tujenge nchii!!![emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]barikiwa nawe kipenziNilikuwa busy kuisave. Ubarikiwe sana binamu. Almanusra nipitwe khaaa
Sijambo love mzima?Love hujambo!?
Boss kwio huyooo!kapuku mmoja hiviii!!!The boss herself
Mtu mzima huo sio mkojo Bali ni kinywajiHakuna pombe hapo. Mkojo tu [emoji706]
Daah inasikitisha sana [emoji1][emoji1]Binamu sio poa. Yaani nimekuona nimesema ngoja nivute kiti hapa, nisijepitwa. Mara paap nimeshapitwa daah
Usinambie hujaona tena Dada?!!!acha baasiiMama mchungaji kwenu, mimi hanifanyii matendo ya kitumishi hata kidogo[emoji1787][emoji1787]
GoodNilikuwa busy kuisave. Ubarikiwe sana binamu. Almanusra nipitwe khaaa
Mzima, nilikusahau ujue! [emoji85][emoji85][emoji85]Sijambo love mzima?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe huyu Khantwe ni love wako??Love hujambo!?
Najua tu HS amepitwa tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aahh!wewe bwana acha zako[emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwa Leo inatosha wazee sisi kuanika sura zetu humuu!!ngoja tujenge nchii!!![emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]barikiwa nawe kipenzi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mimi mpaka sasa nimekusahau...umebadili id?Mzima, nilikusahau ujue! [emoji85][emoji85][emoji85]
Kwa kweli,wewe na HS haziwahusu.🤣Ngoja tu nihitimishe kuwa picha mimi hazinihusu[emoji1787][emoji1787]
Najua tu HS amepitwa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]