Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
VipiAisee
VipiAisee
yapaswa tujikubali tushakua maji ya jioni tunaselfika hvyo hvyo!
Hawa warembo ndo mda wao sasa!!mi najilipua tu tena live
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nikutumie kwa WhatsApp?? Hapa Mods wataiona hahaahahahahahhaKama alikupa kwa ajili yangu, fanya tu unipe ili lengo litimie
Nini hiyoAiseeee ntainunua kwa gharama kubwa sana
Mchungaji lazima utakuwa una matatizo.
Yaani waumini wako unatukataaaa.
Mimi ndio hunitaki kabisaaaaa. Hutaki uokovu wako unipitie jamani
Kiukweli mko vizurrii!na mwanaume wa kinyaki wako very responsible wengi wanajielewega sana!ingawa I never dated but my fellows nawaona wanavoinjoi!!Tunashukuru dada sisi somo la upendo kwenye maandiko ndiyo lilituingia zaidi![]()
Mimi nitampa, ila kwa ujeuri wake anaweza akagoma kuichukua. Hivyo nitabaki nayo![]()



Relief Mirzska unaona? Anaweza kukaa nayo akadai nimekataaWatu mko mpaka na kwenye WhatsApp humu?Nikutumie kwa WhatsApp?? Hapa Mods wataiona hahaahahahahahha




Hahahaha unaweza kuba,iza simu kwa hasiraMaumivu yake ni sawa na ya kuleftishwa kwenye group huku ukiwa unataipu majibu ya matusi uliyoporomoshewa na memba mkorofi wa group....![]()
Wee!siku nikichambwa uje kunitetea Dada!maana si unajua jf kuna vichaa hao utashangaa tu wamekuamkia baasi utasuuzwa mpk uombe poo!Jilipue binamuuuuuu
😁😁😁😁😁.. kwema lakini mkuu Pep
Ni mtanziko
Wenye fadhaha (fadhaa)
Akigoma kuipokea baki nayo tena nakupa ruhusa uitumie yote.Mimi nitampa, ila kwa ujeuri wake anaweza akagoma kuichukua. Hivyo nitabaki nayo![]()
Aiseeee ntainunua kwa gharama kubwa sana
Shimba sana tu!!Mimi binafsi I have friends in need humu kadhaa and they r so good people!!Watu mko mpaka na kwenye WhatsApp humu?![]()
Nikutumie kwa WhatsApp?? Hapa Mods wataiona hahaahahahahahha
Selfikamo ya Heaven SentNini hiyo