reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Nimetuma nyingine hapoo!hakuna ameona imekaa 2mins!Hatari sana

nimemtag Khantwe kabisaa na Karma!Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nimetuma nyingine hapoo!hakuna ameona imekaa 2mins!Hatari sana

nimemtag Khantwe kabisaa na Karma!Hivi umesahau wewe ni mtoto wangu?Picha yangu au yetu hadi tushee mapato?
Aiseee ngoja niende kule nipokee hiyo namba nitume na ya studio piaNabeba nguo naingia kabisa studio kuphotoka
Ewaaa...haya ndio maneno sasaNatuma kwa namba gani sasa?? Au nimtumie khantwe halafu atakupa??
Bila shaka na wewe ni serious beer drinker. Maana pamoja na kwamba ni kati ya beer zinazoongoza kuuzika sana huko ila siyo favorite kwa wale serious beer drinkers.Hakuna pombe hapo. Maji tu. Nilipokuwa nakunywa hizi hata kreti mbili silewi![]()
Ni mwananguSasa hapa mnanichanganya. Hivi huyu ni ndugu yako au mchungaji wako???
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Hapana mkuu, huyo ni love wa watu. Mimi najipendekeza tu!
![]()
Kumbe??? Basi yeye ndio simuamini tena kuanzia leoNone of the above
NimeshakujuaHapana mkuu, huyo ni love wa watu. Mimi najipendekeza tu!
![]()

Aiseeeee.Hivi umesahau wewe ni mtoto wangu?
Ni kweli sina bahati daah..inachonifanyia sasa
Na wewe je??? Sio serious drinker??Bila shaka na wewe ni serious beer drinker. Maana pamoja na kwamba ni kati ya beer zinazoongoza kuuzika sana huko ila siyo favorite kwa wale serious beer drinkers.
Ni kweli sina bahati daah..inachonifanyia sasa




usinambie hujaifungua Dada!picha ya 3!!hyooo!!😁😁😁 usipige tu mwingi, hadi ukatoa boko 😇😇Naam mkuu, tunaupiga mkubwa
Ilikuwa inagoma now imefungukausinambie hujaifungua Dada!picha ya 3!!hyooo!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tuma tu kwanguDuh!
Nakutumia wewe mwenyewe.
Yaani hapa nachanganyikiwa. Mara yeye ananiambia wewe ulikuwa mchungaji zamani, sasa hivi sipati kukuamini, mara wewe unaniambia yeye tapeli.
Ngoja kwanza nikutumie wewe zote ili nithibitishe unaaminika au huaminiki
Baasi!imesiha hyooo!!!Ilikuwa inagoma now imefunguka