Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,927
Mnachat fasta Haraka haraka nataka niwe sawa nanyi wapi?😅Kama lugha gani???
Mnachat fasta Haraka haraka nataka niwe sawa nanyi wapi?😅Kama lugha gani???
Watu wa Pwani mpo vizuri pia mnajali mwanamke hadi raha .Aiseee Sisi wa pwani tunachkuliwa poa sana duh
Mbona kigumu sasa???Utolewa baru na nani? Nimefika, niambie..
Haahahah.Mnachat fasta Haraka haraka nataka niwe sawa nanyi wapi?😅
Sifa hatupewi mpaka tuziombeWatu wa Pwani mpo vizuri pia mnajali mwanamke hadi raha .
Mtazoeaaaaaa hahahaha.Ndiyo PM kumebadilika vile? Yale mabox box aisee nimeshtuka.
Mabayaaa kwqnza...
January bablai 😂 mambo magumu mpaka kwenye keyboard...Mbona kigumu sasa???
Tukachat PM basi ili niyazoee 😂 😂Mtazoeaaaaaa hahahaha.
Duu nakwambia kila nikisema nitoke kidogo nirudi nakuta watu mpo sijui uzi wa gani nasoma ili niende sawa niwakaribie ndo mnazidi kusoma kwaiyo naona niwe naanzia pale mnapoishiaHaahahah.
Kwamba ni mashindano???
HahahaahahahahahTukachat PM basi ili niyazoee 😂 😂
PoleeeeDuu nakwambia kila nikisema nitoke kidogo nirudi nakuta watu mpo sijui uzi wa gani nasoma ili niende sawa niwakaribie ndo mnazidi kusoma kwaiyo naona niwe naanzia pale mnapoishia


nimeselfika mara 4 ulijificha wapi?
Swali lake ni jibu... Unanipa picha hunipi??
Nyie mpo vizuri piaSifa hatupewi mpaka tuziombe
Muhindi kaanza na moto. Mambo ni bam bam...nimeselfika mara 4 ulijificha wapi?
Ebola!Muhindi kaanza na moto. Mambo ni bam bam...
Zimenipita, ndio maana nauliza unanipa au hunipi? �🤣🤣
mixture of feelings.View attachment 2085683View attachment 2085684
ni nzuri na classic.Ebola!
Swali gani hilo hahahaah
Ila watu wa vijijini bwana.
Tunasindikiza mtu mmoja ,tunampandisha hadi ndani ya gari...tunampungia mkono...
Bado tunasubiri kuona gari linavyoondoka ili tumpungie tena.






Wanyaki ndo pigo zenu hizoo!!!hapo mnatamani muikimbile gari kwa bodaboda pia!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app




