Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Watu wabaya😁
Watu wabaya😁
We za kwako zikwapi rafikii[emoji28][emoji1][emoji1][emoji846]Humu vipi mnatupia picha na kufuta kwani ndo selfie [emoji1702] hiyo, nimeona picha kuna mtu amekaa kwenye kiti na mkoba narudi tena haipo[emoji44] najaribu kwa kurudi nyuma bado siiyoni[emoji19]
Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah
Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM
Nawe eti umepitwa na picha? Ajabu sana hii wallahi!Aki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ndo maneno sasa Mtumishi. Nakwenda kufungua PM kwa ajili yako. Naisubiria hiyo picha kwa hamu kubwa. Usiniangushe pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni.
NimehujumiwaNawe eti umepitwa na picha? Ajabu sana hii wallahi!
Asante sana Mtumishi. Nimeona. Uwiiii! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]
View attachment 2085173
Nimehujumiwa
Ila mimi na Karma ni mwaka wetu wa 5 huu tunaomba picha bila kupewa[emoji19]Nimeshatimiza ahadi yangu na wewe Mtumishi, sina deni.
KwendaaaAcha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa
Kwendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma nimempostia muda ule hayupo. Ila yeye ntamtumia PM, kazi kwako
Kwendaaa
Ni hujuma tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wakati ulikuwepo hapahapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]