Hadi wewe umeona pia
Watanzania bwana,umeulizwa swali badala ya kujibu na ww unauliza swali?!...Hellen ndiyo nani kwani??
Mama Naah...niibox za kwako
Mefanya nini lakini mimi jamani!!
Usipende kukurupuka mkuu,, hebu kaangalie tena vizuri hilo swali ulimuuliza nani..Watanzania bwana,umeulizwa swali badala ya kujibu na ww unauliza swali?!...
Safi sana hakuna anayekudai ujifiche ya niniSioni haja ya kujifichafichaView attachment 1230095
Wewe uko nazo za kutosha akiMama Naah...niibox za kwako
MusuliMwendo wa kulewa maisha enyewe mafupi mamake.View attachment 1230083
Ile kipindi ulitumia tunguli ukanipata bure bure safari hii tunguli zako zimedunda.keshakutia sumu huyo loh...
Na kwa kuongezea mpokea mahari ni wewe.Posa kwanza na bahasha ilotuna. Sio ananidolishia tu mabunda yake wakati nimechacha mbaya
Ole wako uende!

♂️
♂️Anza weweWadada mbna hampost vyura tuone??♂
♂
Like no otherView attachment 1229895