Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,927
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimerithi kabisa yaani.
Kagiza kakianza kuingia ukitaka kuja kwangu hamna haja ya kuniuliza kama nipo maana ni lazima niwepo na milango yote nimefunga.
Hivi viwanja sivijui hata vinafananaje yaani. Nikisema leo sipiki acha nikachome kuku au pizza nikifika namwambia funga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo naenda kulia nyumbani.
Basi wananisemaga ila ndio hivo sibadiliki yaani wameishia kuniita "mama mchungaji"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora wewe huwa unakwenda, mie naagiza bodaboda[emoji85]
Kuna mama huwa ananiambia akitaka kuja kwangu walaa hajihangaishi kupiga simu maana anajua tu atanikuta.
Ndio basi tena mdogo wangu tubakie tu kuwa watazamaji[emoji134]