Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
😀😀😀 nilitoka salama, ila nikiwa hoi sanaaaa.. maamuzi mazito ilibidi yafanyike kujiokoa aseee.. kuhamuka peke yangu haikuwa kazi rahisi🤣🤣🤣🤣 Jana ukajiachia kwaraha zakoooo!! Ulitoka salama kweli??? Hakii utafika hujiwezi!





