Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220116_175757.jpg
 
Hahahaaa... Hiki kiswaswadu ndio kila kitu shoo..ndio kula yangu kazi yangu ndio ajira yangu ndio maisha yangu hapo wee kione kipokipo tu..simu zotee naeza zima ila Sio hio simu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe tupo wengi eeeh, cm ndogo angu imepasuliwa j2 usiku. Hapa nawaza kununua mpya afu niifiche
 
Back
Top Bottom