Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha yani yule jamaaNilichekaaaaaa
Hahaha yani yule jamaaNilichekaaaaaa
Eeeeh nyie malast born mna vitisho jamani khaaaaBaba siku ile alitaka anichape
Waloniboa,,nikaandika barua nikawawekea chumbani,oh mimi ntakufa au nitapotea
Akiyanani ,mzee alivyoanza kusoma...
Eti wewe ndo wa kututishia sisi??ondoka tuone,,kufa hapa tuone
Ule mchezo sijarudia tena maishani![]()
Nitūmīlage bageshi![]()
Si unaona sasa habari zako
Halafu ile siku nilijitahidi sana kuongea


Sema wananipenda ila hawasemi tu😁Eeeeh nyie malast born mna vitisho jamani khaaaa
Marahaba hujambo?Nambie mdogo wangu![]()
Yaani kwamba nilivyopepeta mdomo vile hadi nikawa nachanganya stori ulikuwa huoni?🤣🤣🤣🤣Si unaona sasa habari zako![]()
Ndiyo hakanaga story. Sijui kanatolea wapi ile confidence ya nyuma ya keyboard.Kumbe ule utata wa Anne ni wa kwenye maandishi tu?
Surgery ya nini tena mdogo angu?Sema wananipenda ila hawasemi tu
Kama sasahivi nasubiria Surgery,,mwenyewe hata habari sina ila wao sasa wanavyonihurumia...wanacomplicate hadi basi huku mwenzao niko huru tu na nimejiandaa kwa lolote.
We jamaa mlokole unajichanganya na wamataifaambae yupo karibu na kitambaa cheupe basiii![]()


Ndiyo hakanaga story. Sijui kanatolea wapi ile confidence ya nyuma ya keyboard.
Utakuwa umefanyaNiombe tu mwenyewe Mtumishi


Utakuwa umefanya
Kitu muhimu sana
Ebu mfanyie ukristo kidogo
Mi nilichimba mkwara nilipokuwa darasa la 5 kuwa naondoka home kimoja. Hii ilikuwa ni baada ya kupokea kichapo hevi kwa kitu ambacho nilidhani halikuwa kosa langu. Nikaambiwa hata ukiondoka sisi wala hatutahangaika kuja kukutafuta. Dah! Nikaona hawa watakuwa wanatania hawa! Last born kweli nikafanya yangu. Miezi 6 siko home na hakuna aliyekuja kunitafuta mbali tu na kusikia habari kuwa mama yako anakutafuta sana. Mpaka bro mmoja mjeshi akaja likizo ndo akaja kunisaka nilikokuwa + kichapo hevi nikarudishwa shuleni mzobe mzobe. Mwalimu mkuu naye kumbe ana usongo kwa sababu nilikuwa nashika namba wani darasani. Napo kichapo hevi akanipa na cheo cha kuwa time keeper shuleni ili nisiwe mtoro tena. Ndo ikawa pona yangu. Mtihani wa darasa la 7 enzi zile vigumu kweli kwenda sekondari tukachaguliwa watu wawili tu pale kijijini!Eeeeh nyie malast born mna vitisho jamani khaaaa






