Ooooh hapo sawa,Hapana kipendhi..mwili nilionao si wa kutisha kushindwa kuvaa hivyo viatu



ahikubariki hii, unanisajiri kwenye chama cha umbeya alafu wewe utokeee 😳😳😳😳😳umbea nimeacha mie,
itakuwa mapenzi tu..Kazakh destroyer habari.nini kimekupata mpka unataka kuondoka?
mahondaw
Cha mdeko Saint Anne
Heaven Sent
9.8ms squared
Nijizeni tafadhali
Receipt muhimu sana, kama hana receipt au machine ya EFD hakuna kupewa pesaaa 😂😂😂😂 na kama akipewa iwe chini ya 100,000.. muambie mama pastor akupatie receipt ya janaUnajua saivi umekuwa role model wangu kwenye hiyo sekta ya kutoa bakshishi, kwahiyo Mimi pia nitakuwa nadai risiti kuanzia Mwaka huu 😀
Jomoniii.. tuongeze speed kula ujana.. uzee hekima na kucheza na wajukuu.. na ibada mwisho wa siku za ujana wetuu sie eti 😊😊shost hivi hata sijui nisemeje, ila kuingia ktk ndoa afu ujana hujala n mateso.
Mwaka huu nitatoboa nikiwa kwenye machelaaa aseee.. 😀😀Chuchuuu hizooo wakiziona lazima mate yawatokee! Una Kifua kizuri sana hongera
Hatariii yootee ipo hapo.. kama hako uki imagine umeishaaa kabisaa.. acha nipite kushotoNdio
Ndio
Hapo kifuani panaelezea yote
Hahahaaa... Hiki kiswaswadu ndio kila kitu shoo..ndio kula yangu kazi yangu ndio ajira yangu ndio maisha yangu hapo wee kione kipokipo tu..simu zotee naeza zima ila Sio hio simu!!Cm ndogo hiyo.![]()
Wacha bhana🤣🤣🤣itakuwa mapenzi tu..
🤣🤣🤣🤣 Jana ukajiachia kwaraha zakoooo!! Ulitoka salama kweli??? Hakii utafika hujiwezi!Mwaka huu nitatoboa nikiwa kwenye machelaaa aseee.. 😀😀
hayana mjuzi hayoo.. yanakupasua tu, uwe kijana au mzee.. 😀😀😀Wacha bhana🤣🤣🤣
Hayanaga baunsahaya mjuzi hayoo.. yanakupasua tu, uwe kijana au mzee.. 😀😀😀
Eeeh! shahidi mahondaw yanatoa watu machozi hadi makamasi chepe chepe🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hayanaga baunsa
Mi nilichimba mkwara nilipokuwa darasa la 5 kuwa naondoka home kimoja. Hii ilikuwa ni baada ya kupokea kichapo hevi kwa kitu ambacho nilidhani halikuwa kosa langu. Nikaambiwa hata ukiondoka sisi wala hatutahangaika kuja kukutafuta. Dah! Nikaona hawa watakuwa wanatania hawa! Last born kweli nikafanya yangu. Miezi 6 siko home na hakuna aliyekuja kunitafuta mbali tu na kusikia habari kuwa mama yako anakutafuta sana. Mpaka bro mmoja mjeshi akaja likizo ndo akaja kunisaka nilikokuwa + kichapo hevi nikarudishwa shuleni mzobe mzobe. Mwalimu mkuu naye kumbe ana usongo kwa sababu nilikuwa nashika namba wani darasani. Napo kichapo hevi akanipa na cheo cha kuwa time keeper shuleni ili nisiwe mtoro tena. Ndo ikawa pona yangu. Mtihani wa darasa la 7 enzi zile vigumu kweli kwenda sekondari tukachaguliwa watu wawili tu pale kijijini!
Kisa hiki kilinikomaza sana na nimeweza kutembea zaidi ya nchi 16 katika mabara yote ya dunia hii isipokuwa Australia na Antarctica bila woga wala nini. Na mpaka leo naweza kwenda po pote bila woga.
Mwaka 2017 nikakutana na yule mwalimu mkuu nikamkumbusha kisa kile alicheka sana. Ila nilimshukuru mno kwa kunikomalia kusoma....
Kwa hivyo last born wengine siyo wa mchezo mchezo aisee![]()
Nani amekutafsria Mtumishi? Dah!
Haya naomba basi unitumie hizo picha ili na mimi moyo wangu utulie![]()
At your service today.Naomba Mtumishi Mwema wa Bwana (Nalīlomba Ntūmami Ntogwa Ong'waseba)![]()