Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Wazee wa sifa sasa
Leo Sina ya kutumishi rafiki!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yani afadhali umemkumbusha
Wazee wa sifa sasaView attachment 2083801
Selfika basi.. nipo nakula upepo baada ya kupasha kahawa..Pole sana!! Sometimes kujichanganya kuna refresh akili.
Mama pastor karibu ibadani..Wazee wa sifa sasaView attachment 2083801
Saint Anne njoo unionyeshe mama mchungaji ni yupi kati ya hawa
Jumapili iheshimiwe!Sio lazima ya kitumishi bana
Naona naonaaa.![emoji12][emoji854]Selfika basi.. nipo nakula upepo baada ya kupasha kahawa..
View attachment 2083808
[emoji120][emoji120][emoji120]Mama pastor karibu ibadani..
Jumapili iheshimiwe!
Mawazoooo mawazoooo 😜😜😜😜Naona naonaaa.![emoji12][emoji854]
Mawazo yanatoka wapi nahiko kiyoyozi!!??Mawazoooo mawazoooo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mimi nikahisi mama mchubgaji yuko stejini anashusha vocal🤣🤣🤣🤣Hiyo ni Emmanuel TV nkamu. Hiyo sauti ya kuimbia naitoa wapi; mimi nakuwa huku chini[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona kiyoyozi tu 😀😀😀Mawazo yanatoka wapi nahiko kiyoyozi!!??