Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Nani amekutafsria Mtumishi? Dah!Niombe tu mwenyewe Mtumishi
Haya naomba basi unitumie hizo picha ili na mimi moyo wangu utulie


Nani amekutafsria Mtumishi? Dah!Niombe tu mwenyewe Mtumishi


Dah!Simpiiiii![]()
Mkuu mataifa kwangu ni muhimu zaidi kuliko walokole wenzangu 😀😀😀We jamaa mlokole unajichanganya na wamataifa
Mkuu sema akupe na receipt ya EFD .. kwa hiyo hela, mie kuanzia 100,000 lazima anipe receipt na awe kasajiliwa na VRNMara ya mwisho ulihonga 100,000 na ulisema ilikuuma Mwaka Mzima ila Mimi unashauri nihonge 3M?
hapana Kwa kweli, nitaishia 150,000 tu 😂
hahahaha wapi hapo
kitambaa cheupe, hapa meeda mkuu 😂😂😂hahahaha wapi hapo
Naomba Mtumishi Mwema wa Bwana (Nalīlomba Ntūmami Ntogwa Ong'waseba)Niombe tu mwenyewe Mtumishi



Anakuwa anasema "nakutema mura" huku panga linashuka.Wale lile panga anakabidhiwa siku akitahiriwa na lazima awe nalo na masharti ya panga lile akilitoa halirudi anakukata,asipokukata ni mwiko!yaani hawanaga masihara muraaaa!!
🥲😊Surgery ya nini tena mdogo angu?
Mwamba imara😂😂😂😂😂Kanajikutaga mwamba![]()
Unaogopaga nini umri huo AnneKuongea na simu ni hadi nimzoee mtu na niache kumuogopa
Wape matokeo yaoHumu ndani kama kuna Chelsea tafadhali sana nina matokeo yenu![]()

Yes...nipo home maranguMarangu?
Nakuonaa nakuonaaHahaaa daah umenikumbusha 'range'. Tulikuwa tunaambiwa kuruta mnalenga mijusi tu.
Nimemiss life la 'jakata'. Napenda sana kwata/gwaride na kwenye gradu ya jakata nilichagua hicho kitengo.View attachment 2082724View attachment 2082726