Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,863
- 147,314
Mie niko poa[emoji120][emoji16][emoji56]
Unaendeleaje?
Malast born mnavituko sana[emoji23]
Mwenzenu alisusa
Mie niko poa[emoji120][emoji16][emoji56]
Unaendeleaje?
We jamaa umepotea sana[emoji91][emoji91]
Leo sasa nimekupima kimo kimyakimya😝.
Yule ni last born grade one.Mie niko poa[emoji120]
Malast born mnavituko sana[emoji23]
Mwenzenu alisusa
Npo jamaa nimejichimbia shamba huku nacheza na nyani tuWe jamaa umepotea sana
AnasusaYule ni last born grade one.
Ma first born SISi hakuna kulia LiaAnasusa
Anadeka
Anapenda kubembelezwa
Mafirst born Tunawatizama tu[emoji3061][emoji3061] hiiiiiiiiiii
Siku moja nitapotea njia nje huko tucheze na nyani.imekuwa kitambo sana..kuna mtu alikuulizia😁Npo jamaa nimejichimbia shamba huku nacheza na nyani tu
Hakuna hiyo,......madogo wasumbufu sanaMa first born SISi hakuna kulia Lia
Potea uje ujifunze uzalishaji Mali mashambani huku ni mwendo wa kushinda na trekta tu achana na motivation speakers wa town.Siku moja nitapotea njia nje huko tucheze na nyani.imekuwa kitambo sana..kuna mtu alikuulizia[emoji16]
Likizo moja nitaitumia huko aise niangalie fursaPotea uje ujifunze uzalishaji Mali mashambani huku ni mwendo wa kushinda na trekta tu achana na motivation speakers wa town.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Noma sana
Selfika bas wee [emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapa shoo [emoji144]! Tuendelee kuselfika tu
Huo mwili unavaa hivi huogopi? [emoji23][emoji23][emoji23]Acha ukuda cha mdeko.navaa 37.ninunulie kama hiki basi
View attachment 2083639
[emoji39][emoji39][emoji39] hicho kiswaswadu kimenichekesha mno uwiiiiiihNdio nafungua kinywa .. karibuni wapendwaView attachment 2083650
Hapana kipendhi..mwili nilionao si wa kutisha kushindwa kuvaa hivyo viatuHuo mwili unavaa hivi huogopi? [emoji23][emoji23][emoji23]