Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie na wewee tena lazima tufurahi tuchekee.. jana nilipata shida sanaa... kufanya manunuzi ya mambo yetu.. na sikununua kesho nitapo enda nakucheki unipe muongozo
View attachment 2082309
Kwanini hukunicheck? Ulikuwa hujamaliza mfungo wa kuninyamazia? 😂 😂
Ila fresh ... Happy new year❤
 
15|01|1990-15|01|2022=?

GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive

HAPPY BIRTHDAY TO ME
Hangamaga nzunone. Ūnamhale mpaga ūsache lino līmo gūtīlyangīlī


Halafu kobaga ganīkī gape galipu gidakwitale ūtole. Īmyaka yaselemaga nkoi.
 
Nina rafiki zagu wawili hala wasukuma, R na L inategemea siku hiyo wameamkaje
Kisukuma hakina kimadende /r/ hivyo kwenye /r/ sisi tunatwanga /l/ tu (mf. lafiki). Kikurya hakina kitambaza /l/ kwa hivyo kila penye /l/ wanaweka /r/ (mf. Kurima). Wahaya na Wakerewe wana shida kubwa na kikanushi /h/ na mchopoano wake na irabu. Kinapotakiwa wanakitoa (mf. apana), kisipotakiwa wanakiweka (mf. hafadhali).

Mwingiliano huu wa sifa za lugha ya mama kwenda lugha ya pili ni jambo la kawaida ndiyo maana ni vigumu kweli kweli kwa mtu mzima kujifunza lugha ngeni na kuweza kuiongea kama wazawa wa lugha hiyo. Kama siyo matamshi basi toni, intonation, stress na vitu vingine vitamuumbua tu!
 
Same here. Huwa naitwa sana mnyamwezi, na wengine huwa wanafikiri nina asili ya kaskazini (the way nilivyo according to their perception + meno yameoza)
Hivi ni Saint Anne peke yake ndiye alibahatisha picha za Mama Mchungaji siku ile? Hata kama alificha sura shepu itakuwa ilionekana tu. Aliyezipata si angalau aweke dodoso kidogo ili tupate picha (japo hafifu tu) ya hii miksa ya Mnyamwezi na Mkaskazini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…