Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220115_171011_045.jpg

Mungu asaidie na Kijana wangu naye tuje kumsoma kwenye magazeti akiingia kwenye Top 10 ya Kitaifa, manake kulipa hela zote hizi alafu aje apate division sawa na wale wa Elimu bure inauma 🙆
 
Nistiri tu Mtumishi. Afu ni perception zao tu. Mbona Anne angeshasema
Hivi ni Saint Anne peke yake ndiye alibahatisha picha za Mama Mchungaji siku ile? Hata kama alificha sura shepu itakuwa ilionekana tu. Aliyezipata si angalau aweke dodoso kidogo ili tupate picha (japo hafifu tu) ya hii miksa ya Mnyamwezi na Mkaskazini?
 
Kisukuma hakina kimadende /r/ hivyo kwenye /r/ sisi tunatwanga /l/ tu (mf. lafiki). Kikurya hakina kitambaza /l/ kwa hivyo kila penye /l/ wanaweka /r/ (mf. Kurima). Wahaya na Wakerewe wana shida kubwa na kikanushi /h/ na mchopoano wake na irabu. Kinapotakiwa wanakitoa (mf. apana), kisipotakiwa wanakiweka (mf. hafadhali).

Mwingiliano huu wa sifa za lugha ya mama kwenda lugha ya pili ni jambo la kawaida ndiyo maana ni vigumu kweli kweli kwa mtu mzima kujifunza lugha ngeni na kuweza kuiongea kama wazawa wa lugha hiyo. Kama siyo matamshi basi toni, intonation, stress na vitu vingine vitamuumbua tu!

Kimadende, kitambaza, mchopoano; kweli kiswahili ni kipana jamani. Ahsante sana Mtumishi
 
Nafanyia lamination hii comment. Kelele moja kwa wanyaki wake
Yah! 100%. Wanawake haswaa na hata ukiwa nae huwezi fail maisha kama mwanaume anakuwa na nidhamu, sema wana dharau flani 😀😀😀.. nilikuwaga na mmoja alinisaidia sana, sema alifariki ningekuwa mbali sana ningekuwa na yule dada.. kwanza wanapenda Mungu kikweli kweli
 
AMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine
Yah! 100%. Wanawake haswaa na hata ukiwa nae huwezi fail maisha kama mwanaume anakuwa na nidhamu, sema wana dharau flani .. nilikuwaga na mmoja alinisaidia sana, sema alifariki ningekuwa mbali sana ningekuwa na yule dada.. kwanza wanapenda Mungu kikweli kweli
 
Back
Top Bottom