kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,388
- 17,097
Kwema mkuu mtu chakehahahaha
He he mbinu zipi tena blaza😅Shida yako wewe MBINU sana![]()
kwema kbs mkuuKwema mkuu mtu chake
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuukwema kbs mkuu

😊😊 Kumbe sauti kama ya kiuwizii, usiku ndio inanogaaaWewe mkaka mwenye sauti nzuri... Sauti ya kuibia 'sauti imekaa kiwizi wizi🤣🤣 emu fanya kama unanipigia. I miss you Eng!...
mkuu humu mm wala sipati tabu,najua wataweka tu wenyewe muda ukifika,hahahahaVizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu
Omba na vidole vya mguuni tuone upana,urefu na uzuri wake mkuu![]()
Vizuri sana kama ni salama tuSalama tu vipi wewe ?
Nakutakia sabato njema leo .
Vizuri sana kama ni kwema rafikiKwema sana rafiki! Happy Sabbath day!!
Akhsante sana dada yangu SimaraHappy birthday Mdogo angu, Mungu akupe umri mrefu na wenye baraka
Sauti mbili za wizi zikikutana sijui kinatokea nini....😊😊 Kumbe sauti kama ya kiuwizii, usiku ndio inanogaaa
View attachment 2082265
Kumbe umezaliwa January?? Kwanini hukunisubiri tukuwe mapacha 😂
🥰🥰🥰.. Hapo ndio penyewe sasa.. kukiwa na missing ya maana mambo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥.. hapa nafika ndani tu nakupandia hewani.. story zinanogaSauti mbili za wizi zikikutana sijui kinatokea nini....
Nimekumiss mpk nimeshindwa kuvunga 😏😏
😍😍 Sauti + Sauti.. uzuri hauboi kwenye mastroy.. nime miss madeko yako na kale ka tone 🙈🙈Sauti mbili za wizi zikikutana sijui kinatokea nini....
Nimekumiss mpk nimeshindwa kuvunga 😏😏
Akhsante sana dada yanguHappy birthday mdogo angu, ukalindwe na kutunzwa. Deni langu sijasahau![]()



😀😀 haya🥰🥰🥰.. Hapo ndio penyewe sasa.. kukiwa na missing ya maana mambo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥.. hapa nafika ndani tu nakupandia hewani.. story zinanoga