T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Teh!! Depal bhanaKumbe umezaliwa January?? Kwanini hukunisubiri tukuwe mapacha [emoji23]
Happiest birthday swiitatooo
Akhsante sana mpendwa ubarikiwe
Ukimya wako una maana gani kwa mfano?
Teh!! Depal bhanaKumbe umezaliwa January?? Kwanini hukunisubiri tukuwe mapacha [emoji23]
Happiest birthday swiitatooo
Kumbe mlishafika kwa wanyaturu??? Saivi mpo kwa wawapi??😳 Ukifika zamu ya wanyaki naomba nitag🤨🙃🙃🙃..nipo bize naangalia matokeo yaform 2 na 4 huku asee! Usiache kunitag🤣🤣😂Sema wanyaturu ni 😋😋😋
Mkuu mbona tunapisha kizembe asee.. naondoka kuelekea Mjini daah 🙄🙄View attachment 2082079Roaming around Capital City
🤣🤣🤣 madeko tena aisee na hii sauti ya nne jamani 😍 😍😍😍 Sauti + Sauti.. uzuri hauboi kwenye mastroy.. nime miss madeko yako na kale ka tone 🙈🙈
Hahahaha.....Sawa mkuu ngoja tusubiriemkuu humu mm wala sipati tabu,najua wataweka tu wenyewe muda ukifika,hahahaha
Dah noma kweli yani watu wangu wengi tunapishana😅 tmrw mi ndio naingia Town.Mkuu mbona tunapisha kizembe asee.. naondoka kuelekea Mjini daah 🙄🙄
Kwa vidole hivo kaka mzuri anafaidiWomen are beautiful [emoji7]
Women with short hair styles are veree buryifoooo [emoji7] [emoji7]
View attachment 2082144
Wanyaki mbona zamanai hatari sana, wanajua kupenda na ni waaminifu.. unakuwa huna mashaka kabisa ya kupigiwaaa 😀😀😀Kumbe mlishafika kwa wanyaturu??? Saivi mpo kwa wawapi??😳 Ukifika zamu ya wanyaki naomba nitag🤨🙃🙃🙃..nipo bize naangalia matokeo yaform 2 na 4 huku asee! Usiache kunitag🤣🤣😂
dah! Naenda tu kanisani, baada ya ibada kesho narudi dodoma 😀😀Dah noma kweli yani watu wangu wengi tunapishana😅 tmrw mi ndio naingia Town.
😋😋.. Unadekaa jamanii na ka sauti kakitooo lol mie hoiii🤣🤣🤣 madeko tena aisee na hii sauti ya nne jamani 😍 😍
Mjapana kama mjapan 😀😀
Nilikuambia jana uje chap.. leo tugerudi wote 🙄🙄🙄Nimepamiss Dodoma jamani.
Hiyo mitaa nilikuwa naipenda mno.
Eeh kuendana na hali ya uchumi mjapani lazma ahusike, full tank moja tu!Mjapana kama mjapan 😀😀
Ungesepa kesho tungedondoka woteNilikuambia jana uje chap.. leo tugerudi wote 🙄🙄🙄
Kama kawaaa 😀😀Eeh kuendana na hali ya uchumi mjapani lazma ahusike, full tank moja tu!
Wazee wa ma V8 wanakoma😆
Wee dada mzuri kuna jambo ni lazima tuongee 😂Kwa vidole hivo kaka mzuri anafaidi
Unajua mie mzee wa kanisa, kesho lazima niwepo 😀😀😀.. nikitoka inadani shwaa dodoma..Ungesepa J3 tungeosha wote
🤣🤣🤣 usinichekeshe HM😋😋.. Unadekaa jamanii na ka sauti kakitooo lol mie hoiii
Napendaga unavyocheka 😂
Mie na wewee tena lazima tufurahi tuchekee.. jana nilipata shida sanaa... kufanya manunuzi ya mambo yetu.. na sikununua kesho nitapo enda nakucheki unipe muongozo🤣🤣🤣 usinichekeshe HM