Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,684
- 225,319
Linagonga mnoSema no sweating ila jua linagonga
Ila Dom pa kishua sana
Linagonga mnoSema no sweating ila jua linagonga
Njoo uolewe na Mgogo uishi hukuLinagonga mno
Ila Dom pa kishua sanaView attachment 2082127View attachment 2082129View attachment 2082130View attachment 2082131View attachment 2082132
Njoo uolewe na Mgogo uishi huku
Ndio maana pakaitwa jangwani humu
Sitaki mgogo.
Kuna shida ya maji...nimeishi kwa kuvuta maji kisimani hadi nikawa naona kawaida tu.
Yaani huko ni jangwa.Ndio maana pakaitwa jangwani humu
Hahahahah jana nimejipiga ki shower nashangaa povu linakata chap kumbe naogea sodium chloride😅😅😅 sasa ndo naelewaYaani huko ni jangwa.
Maji yamejaa chumvi,maji magumuu.
Hahahahah jana nimejipiga ki shower nashangaa povu linakata chap kumbe naogea sodium chloride sasa ndo naelewa
Beautiful
Kumbe we jamaa age imeenda
Vidole hivyo dah
Vinasadifu kuwa yaliyomo yanaweza kuwemoVidole hivyo dah
Mi mbona mzee baba kabisa sema vijana madharau tu😅Kumbe we jamaa age imeenda
Mi mbona mzee baba kabisa sema vijana madharau tu
Bado hajatokea mtata wa kukuzidi mbonaMuite Heaven Sent aje amuone huyo mdada maana anajuaga Mimi ndio mtata dunia mzima
hahahahaVinasadifu kuwa yaliyomo yanaweza kuwemo