Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wale lile panga anakabidhiwa siku akitahiriwa na lazima awe nalo na masharti ya panga lile akilitoa halirudi anakukata,asipokukata ni mwiko!yaani hawanaga masihara muraaaa!!
Duhh kumbe.. Ndiomana kunasiku tuliamka nikaona mkewe dizain kama kakatwa na kitu kama kisu maeneo ya mdomo jamani!🙆🙆🙆🙆
 
Huyo bora aliingia huko walau ile asili yao na hasira ikikutana na roho wa mungu walau inabalance madhara!
Eeeh!
Yaani kuna muda tu anaanza kulia,anaondoka zake anaenda kukaa...sababu haieleweki ,mara ooh wamechelewa kuitikia.

Ile praise team ilikuwa zaidi ya jeshi..
Imagine anafokea watu ambao hawakwenda kwenye mazoezi..huku anaweka na alama ya msonyo...
Watu kumtafuta inbobo kumuomba msamaha ndio kabisa wakaharibu.

Kuna kipindi alikuwa mwanakamati kwenye mission zetu za injili tulikuwa tunaita outreach...sasa kuna siku ilikuwa zamu ya wadada kuosha vyombo..vyombo vikaosha,,baadaye kumbe watu wa power room wakapeleka vyombo vyao kule muda ushaenda.
Alipofika akavikuta hakutaka kujua sababu...ni kuja kufokea watu hovyo kama watoto..kuna wengine vichwa ngumu wakanyoka nako...wanauliza hivi nyie praise mnaishije naye,tukasema tushamzoea
Kalitoa ambush pale,wadada wote jikoni .

Aisee wakurya hii hasira wapunguze jamani.
 
🤣🤣 Naimagine simpatii picha!
 
acha kabisa dogo vile nilivyo ukinipga si unazidi kuniharibu na masura personal hayaa,wanaume wakipiga wanakimbiliaga kupiga usoni!nilitoka ndukiii!toka hapo mkurya no!kwa kweli!
Ila wapo wastaarabu japo wa kusample!
Mimi sijawahi pigwa na mwanaume maisha yangu yote,baba mwenyewe kupiga alikua hajui,yaani siku ukipigwa basi umevuka mipaka,Mimi nilikua naishi na terms and conditions zake so kupigwa sijakupata zaidi ya kurushiwa jagi leo na uzee huu tupigane!hapana kupigwa noo!nikiskia mwanamke anapigwa nashangaaaga sana!
Wakurya wadada sasa ndio moto wa kuotea mbali
Yaani utadhani kuna kiwanda cha hasira huko Mara Asee

.......
Kumbe wakaka wanatwanga eeh!
Na imagine vile sijawahi kupigwa na mzee,,halafu napata mtu ananitwanga

....
Kwahiyo dada mkubwa ukamkimbia mchuchu
 
Naimagine simpatii picha!
Kakali hako Alooo
Halafu kamesomea ualimu
Sipati picha huko darasani hali za wanafunzi wake

Sema tulishakajuaga kapo hivi,basi tukawa tunakachukulia tu hivyohivyo...
Sasa ole wenu imbeni mkosee
Huku kenyewe kakikosea utakosa "Oh sorry nimekosea,kanastopisha mziki kwa ishara na kuamuru waanze upya..sasa nyie wengine koseeni muone cha moto"
Utasikia stooop ,,wote kimbia round kumi..hapo kamenuna hako
....
Kuna siku kalinipa za uso...kalinipa wimbo nikamwambia siwezi asee
 
Kakali hako Alooo
Halafu kamesomea ualimu
Sipati picha huko darasani hali za wanafunzi wake

Sema tulishakajuaga kapo hivi,basi tukawa tunakachukulia tu hivyohivyo...
Sasa ole wenu imbeni mkosee
Huku kenyewe kakikosea utakosa "Oh sorry nimekosea,kanastopisha mziki kwa ishara na kuamuru waanze upya..sasa nyie wengine koseeni muone"
....
Kuna siku kalinipa za uso...kalinipa wimbo nikamwambia siwezi asee
wanafunzi cha moto wanakiona!!
We tena cha kudekaa!alitamani akufukuze!
 
Wakurya wadada sasa ndio moto wa kuotea mbali
Yaani utadhani kuna kiwanda cha hasira huko Mara Asee

.......
Kumbe wakaka wanatwanga eeh!
Na imagine vile sijawahi kupigwa na mzee,,halafu napata mtu ananitwanga

....
Kwahiyo dada mkubwa ukamkimbia mchuchu
Wee bora wadada,wakaka wamezidi aseehh!wakorofi wapigaji na watata balaa!

Omba ukipata mkurya awe muungwana maana wapo wastaarabu wengi tu!
Kingine ujiandae mitala wale kwao kawaida sana!MTU ana ndoa na ana ndoa ya kimila pia!
 
wanafunzi cha moto wanakiona!!
We tena cha kudekaa!alitamani akufukuze!
Mimi nilikuwa naruka naye tu kwenye beat lake.
Akisema geuka kulia naenda,kushoto naenda.
"Kimbia piga round 30 halafu urudi uniambie kwanini huwezi"
Unakubali kujifanya mjinga ili mambo yaende...
Pamoja na utukutu wangu wote ,ila sijawahi leta utukutu kwenye kazi ya Mungu.

....
She was the best teacher,,alikuwa very smart ila hasira ilizidi ..nadhani kabila pia linachangia kwa kiasi fulani.
 
Wee bora wadada,wakaka wamezidi aseehh!wakorofi wapigaji na watata balaa!

Omba ukipata mkurya awe muungwana maana wapo wastaarabu wengi tu!
Kingine ujiandae mitala wale kwao kawaida sana!MTU ana ndoa na ana ndoa ya kimila pia!
Binamu bora wakaka aisee; mwanamke wa kikurya akiwa mtata ni balaa. Tuliwahi kuwa na jirani aitwaye mama Chacha huyo mmmmh
 
Back
Top Bottom