Wake kwa waume wakogo hvyo ila ukikuta mdada wa muraa kasomaa anakua anajiamini balaaa!hayumbishwi!
Wanapiga hao watu nimeishi nao maeneo wee wako mjini ila km wako Tarime aseeh!
Enzi hizo alitokeaga jamaa wa kikurya very nice guy kimuonekano n.k sasa kabla sijaanza mahusiano nikamuuliza unapigaga wanawake au unazungumiza vipi kupigwa,alinijibu mi nabutua tu ukinichanganya,nilivotoka pale niliblock kila sehemu nkasema huu msala huu!ataniua huyuu!mwanaume abusive miye sijawahi kupigwa vya kihasirahasira hvyoo!!!hakuamini!hao watu ukikuta mstaarabu sio mpigaji ,shukuru Mungu