Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niliwahi kuingia nao kwenye taharuki mwaka 2016, yaani nipo sehemu nimekaa na washikaji kitaa mida saa tano asubuhi, tukashangaa ghafla defender imetia breki.

Kamanda wao akaamrisha tuingie kwenye gari kwa kosa la kunywa pombe ( bia) kabla ya muda ( enzi hizo haikuruhusiwa kunywa mpaka ifike saa kumi jioni). Nilishangaa sana maana tulikuwa tumekaa tu kumbe kuna tupu ( chupa) ya bia iko pembeni na sisi.

Wenzangu wakakubali kuingia mi nikakataa maana sikuwa na kosa, sijakaa sawa akaja mmoja eti anataka kunikamata, nikamdaka mkono na kimsukuma huko! Basi bhana sijakaa sawa wakaja wawili nikawadaka wote! Akarusha ngumi mmoja nikakwepa nikamrukia yule mwingine nikamtwisha hook punch.

Walikuwa kama nane hivi wengine walikuwa na chuma( SMG/ak 47).
Nikamvuta mmoja tena nikachana shati lake ( hakuvaa sare). Mzuka ukapanda niliwachezeshea mkono. Wale wenye bunduki wakakaa standby wakaniamuru nijisalimishe ( wala hawakuweka chamber risasi) nikawatukana.

Raia walijazana huku wakiwazomea hao polisi. Akaja mmoja tunafahamiana akaniomba niache. Akili ikarudi kuwa nimeharibu, nikapanda kwenye gari wakataka kuanza kunishambulia nikawaambia nitawavunjavunja na hizo silaha zenu ( wakatulia huku wamechakaa vumbi)

Tumefika kituoni nikaamuliwa kuvua mkanda ili niwekwe sero, nilipoutoa tu wakaanza mkanda huu umetoa wapi? Nikaawambia kwani unapatikana wapi?

Wakanywea; hahaha wakaniachia bure na knuckles wamekula.
Same language cousin.
 
Wana habari yangu kwenye mojawapo ya lounge kwenye mji mkuu wa serikali.
 
😀😀😀😀😀.. Dawa naona iliwaaingia vizuri sanaaaa.. ndio maana humu kuna ile issue ya kina Kingai najisemea kimoyo moyo tu, jamaa waliamua kuwa watii maana hawakujua lengo la jamaa kuwafataa.. ila ulichowapatia ndio wangepewa tena maradufu
 
sikuwezi wewe.. uzuri nimejikuta sasa hivi napigwa dana dana na warembo wa jf kuonana nao, huku na mie nimeapa kutokutana na member yoyote wa jf nje ya jukwaani tunaanzia hapa tunaishia hapa
Kwamba umeapa kutokutana na member yoyote wa JF nje ya jukwaa?seme kweli

Kwa nini Warembo wanakupiga Dana dana Mzee? Mimi nipo Usukumani huku na jirani yangu T 1990 ELY karibu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ama kweli huu ni mwaka wa T 1990 ELY , mambo mazuri mazuri yote yanaelekea kwake.. dah! Namtamani aseee... Msalimie sana muambie mwaka wake wa kula mema ya nchi 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom