Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mkuu 9.8ms squared on a serious note naomba muongozo kama unavyonipa kuhusu RM napata wapi mwanamke wa kiafrika yaani kuku wa kienyeji kama huyo hapo kwenye nguo ya kitenge!? yaani ntalipa mahari wiki hii hii dah..
Si upambane kutafuta mwenyewe mkuu kwanini umchoshe mwenzio 🤣🤣😜!!
 
mkuu 9.8ms squared on a serious note naomba muongozo kama unavyonipa kuhusu RM napata wapi mwanamke wa kiafrika yaani kuku wa kienyeji kama huyo hapo kwenye nguo ya kitenge!? yaani ntalipa mahari wiki hii hii dah..
😒😒😒😒 mie mwenye sina mkuu napambana na hali yanguu.. huoni hata PM zao wote zimefungwaaaa
 
Back
Top Bottom