Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hivi bado tu hujafika stop over?Khaa mbona unamuonea tena shoga angu?
Hivi bado tu hujafika stop over?Khaa mbona unamuonea tena shoga angu?
Wewe ni mwehu kumbe?Ama kweli wewe umeshikwaaa unalipa hadi ada.. Mie majuzi nimekutana na mdada tuliachana miaka mingi, ananiambia ana mtoto wangu ana miaka mitano sahii.. kidogo nijikwae.. nikamuambia mbona mie mgumba jamani
.. akaamini akajizingusha akaja sema alikuwa ananitania na baada ya kuanza muelezea majangaaa yangu na hali ya ugumba.. nika win
![]()














ndo utanipenda!? kwanini unataka kunisingizia eti nilikuwa na ID ya zamani ili ugundue nini kwenye huu upendo mpya unaonipata hapa..
please usiselfike tena kama imeshindikana kunifungulia mlango walau nije nililie huko huoni naaibika hapa!?....halafu ni nani aliewaongopea wanawake eti mwanaume kulia ni jambo la aibu, utaskia ohhh gentlemen ni mwanaume mweusi mgumu ana mikono ya kukwaruza na bla bla nyingine yaani sasa nadeclear interest hapa naskia machozi yananilenga lenga kama picha ya yule paka anaezunguka mtandaoni dah!..
haki niko serious hata kama ametembea 2000000km kama scania113 za mbao kule iringa mi ntamrenew asijali..😀😀😀 Pambambana mkuu, mie sina neno.. siku ya mcheleee naomba niwe mshengaaa
Hivi bado tu hujafika stop over?
Yaani nahisi napendwa kumbe natumiwa tu, can't do this anymore 😢Hehheehheh ndiyo mahaba hayo baba. Ukipenda boga, penda na ua lake. Mtoto kapata baba jamani uuuuuh
ngoja nikomae mkuu nimeona balaa kubwa sana leo jioni..Pambana mkuu pambanaaaaa
Hahaaaaaa. Wewe jamaa chengamkuu 9.8ms squared on a serious note naomba muongozo kama unavyonipa kuhusu RM napata wapi mwanamke wa kiafrika yaani kuku wa kienyeji kama huyo hapo kwenye nguo ya kitenge!? yaani ntalipa mahari wiki hii hii dah..
nalia dada mkubwa..Mwaya lia tu. Haikupunguzii uanaume wako. Just express yaself
🤦♀️🤦♀️🤦♀️Nipo zangu Bunju nakula upepo. Si ulisema nakudanganya?
mkuu niache tu hata nionekane punje, fine tu....hapa ametoka online naskia kuomboleza dah..Hahaaaaaa. Wewe jamaa chenga
Ni kweli Mkuu, huyu mmoja yeye Ada, mwingine anaomba nimnunulie Kiwanja mahali.😀😀😀 Michepuko ikujue huna hela huna pa kuishi kwisha habari yako.. hutopoeka simu wala sms.. na inakuwa inakukwepa hatariii... ukweli nashukuru sina kizinga hata kimoja 😂😂😂😂😂.. hela yangu ni hela yangu na mama yangu..
Saving muhimu sana kaka, hatujui kesho na kesho kutwa ikoje
Jamani, ulikataa mwenyewe na kutokuniamini kwako
Nilisema mimi kwamba huaminiki![]()
Cheti cha ugumba ninacho kabisaaa 😀😀😀😀.. maana nilivyomueleza na kumuambia sina hata pa kuishi kaa kwa jamaaa tu kwenye hostel mbona alinyoosha maelezo sio wangu alafu hata akutaka tuendelee na story 🤣🤣🤣🤣Wewe ni mwehu kumbe?
Kisa cha kujikwaa sasa? Pokeeni tu watoto bana, si mlipanda mbegu?![]()

Ni kweli Mkuu, huyu mmoja yeye Ada, mwingine anaomba nimnunulie Kiwanja mahali.
Sasa huyu wa kiwanja ngoja ninunue ila hati itabaki yenye jina langu![]()
😂😂😂 mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpyaNi kweli Mkuu, huyu mmoja yeye Ada, mwingine anaomba nimnunulie Kiwanja mahali.
Sasa huyu wa kiwanja ngoja ninunue ila hati itabaki yenye jina langu 🏃🏃🏃
Duuh ngoja siku akukute sehemu zako za kishua...Cheti cha ugumba ninacho kabisaaa.. maana nilivyomueleza na kumuambia sina hata pa kuishi kaa kwa jamaaa tu kwenye hostel mbona alinyoosha maelezo sio wangu alafu hata akutaka tuendelee na story
![]()
mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpya
Eeeeh!!🙆🙆Jamani, ulikataa mwenyewe na kutokuniamini kwako
nitamuambia namsubiri boss wangu.. siku hizi sinyoi ndevu na upaa na kile kipli pilii kamechachamaaaa..... lazima aamini tu😀😀😀Duuh ngoja siku akukute sehemu zako za kishua...