Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1642076261063.jpg
 
Very true mkuu!wakati mwingine hizi dini zinatufunga tusifikirie nje ya kile wanachotuaminisha. Ukifikiria nje kidogo utaambiwa unakufuru[emoji45]
Sio kweli, mbona wengine walokole damu damu.. ila maisha yanaenda na tupo nje ya box.. issue sio ulokole ni matatizo ya mtu binafsi.. yani huenda huyo mtu bado angekuwa kimeo... hata kama angekuwa hajaokoka

1 Wakorintho 6:12
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
 
Kaka 9.8ms squared kama bado uko Dodoma kesho tuonane basi. Kesho ni serious kabisa sikutanii. [emoji846][emoji846]

Dada Heaven Sent kama upo na ukiwiwa naomba nikuone Morogoro nikiwa narudi Dar. Nitashukuru sana. [emoji120][emoji120]

Dada Makiwendo na wewe ukija Dar ukipata muda naomba tuonane tafadhali. Maana siyo kwa kukumiss huku. [emoji3064][emoji3064]
Naomba Location Mdogo wangu...[emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom