Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hallooo!!? halooooohh !!!ongeza sautiii sikusikiii🤣🤣🤣! Pendael24 habari za kutwa??
eeeh! akupambanie aseee.. anatia huruma mwaume mwenzetu, kafa kaoza kwako.. huku PM kila saa saa ananiambia nielezee hisia zake kwako.. anahisi akikuambia utaona kama anakuvunjia heshima.. ila ndio ivyo kafaa sanaa.. inabidi umfufue asee☺️☺️
 
we jamaa unafanya huu msala!? tena GBPJPY noma sana..
af usitutishe weka lot tembo tukuone kiwango cha uvumilivu tupia 1.0 lot na hivi GBPJPY pips zake ni za tofauti..
Risk Management muhimu.. sishindani na mtu kutengeza pesa au kupoteza.. nimetumia sana standard lot.. nikaonaga upuuzi.. haina maana kwakua una balance upoteze pesaa.. lazima kuwa mchungu kwenye kupoteza.. 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom