Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nimeishi hapo kwa muda ,sehemu tulivu sana
Nimeishi hapo kwa muda ,sehemu tulivu sana
Yaani ni patulivu mno.Nimeishi hapo kwa muda ,sehemu tulivu sana
[emoji106]Nakuja....[emoji125][emoji125][emoji125]
Dodoma pia ilipo stend mpya na ndio zinaenda hizo daladala.Hivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?
Fresh tu mzima [emoji4][emoji4]Niaje aiseeee???
Mmh hivi kuna watu humu wana picha zako full eh? Ngoja niwatafute asee hao wanaweza kuwa na msaada kwangu! [emoji16][emoji16]Mfanye tu kunistiri dada yenu; wananzengo wasije wakaleta picha zangu full humu, nikajikuta nina-leave
Hehe kweli nyani haoni kundule [emoji2960][emoji2960]Si haijawahi kujukikana huwa mnapenda nini haswa au ninini haswa mnataka.
mimi nikuoneKaka 9.8ms squared kama bado uko Dodoma kesho tuonane basi. Kesho ni serious kabisa sikutanii. [emoji846][emoji846]
Dada Heaven Sent kama upo na ukiwiwa naomba nikuone Morogoro nikiwa narudi Dar. Nitashukuru sana. [emoji120][emoji120]
Dada Makiwendo na wewe ukija Dar ukipata muda naomba tuonane tafadhali. Maana siyo kwa kukumiss huku. [emoji3064][emoji3064]
Haha uko kwenye idara ya vyombo au [emoji1][emoji1]ibada timeView attachment 2074385
Ipo Mbeya, Dodoma Nk.Hivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?
Wewe uko kwa wapi mkuu [emoji846][emoji846]mimi nikuone
We mzee Shimba Ya Buyenze tulia kwanza! Kwani hujui kama mjukuu wako mawardat amenizimia kinoma? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Unafikiri sikuoni ama?
Bingwa au Bigwa??Maeneo fulani karibu na bingwa View attachment 2074464