Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaotuumiza ni wale tunaowaamini sana, huwezi kumwamini mtu kama hujamfanya kuwa rafiki. Unamwamini hadi kumkopesha milioni kadhaa na kuamini zitarudi...au unampa na kusahau kama ulimpa 500k atatue mambo yake.

Tatizo ni pale unamfanya mtu kuwa so close, anapata majanga unaona aaah huyu si mtu muhimu sana kwangu, ngoja nimpe hata 2m atarudisha, weeeee....majibu unayo!

Pesa inaweza isiwe issue, snitching kwangu ni issue kubwa. Unaishi na rafiki kunguni, anachukua hili anapeleka kule analeta huku anavuruga tu, siku ukijua it's late. Choose your friends with care aisee!!
Pole inaonekana umeumizwa sana.ngoja niishi kimachale kama sungura 😆😆
 
Le doktare SYB !!!Hello
Pole na safari ...

Nafurahi kuwa umeonja ukarimu wa Wasukuma. Na hapo bado hujafika kijijini sasa. We acha tu!
66869383.jpg
 
Back
Top Bottom