Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaotuumiza ni wale tunaowaamini sana, huwezi kumwamini mtu kama hujamfanya kuwa rafiki. Unamwamini hadi kumkopesha milioni kadhaa na kuamini zitarudi...au unampa na kusahau kama ulimpa 500k atatue mambo yake.

Tatizo ni pale unamfanya mtu kuwa so close, anapata majanga unaona aaah huyu si mtu muhimu sana kwangu, ngoja nimpe hata 2m atarudisha, weeeee....majibu unayo!

Pesa inaweza isiwe issue, snitching kwangu ni issue kubwa. Unaishi na rafiki kunguni, anachukua hili anapeleka kule analeta huku anavuruga tu, siku ukijua it's late. Choose your friends with care aisee!!
Well said
 
Pole na safari ...

Nafurahi kuwa umeonja ukarimu wa Wasukuma. Na hapo bado hujafika kijijini sasa. We acha tu!
View attachment 2077415
🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️✌️✌️ Wasukuma ni hatareee.... Mpo vizuri mnoooo mnoooooooo! Huo ugali wa mtu mmoja sio!! 😜😳😳Mbona mnataka kuninenepesha tenaaaaa jamani Nina oparesheni maintain- mwili mjuee !
 
Mzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022

Walianza na utaratibu wa kurudi kundini na kibatiza mtoto wao wa miezi 7.

Mke wa kwanza wa Col. Metili alifariki 2021 kwa tatizo la upumuaji.

Tuwatakie ndoa njema na amani tele mzee wetu Mika na mjukuu wake huyu!

Vijana mmelaaalaaa,.laaalaaa..laaa!!!
IMG-20220111-WA0760.jpg
 
Back
Top Bottom