Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Haya usiku mwema wandugu..
Ukituma natuma.. unaanza wewe kwanza!muda bd rafiki
Hilo limeshaisha....Huyo dada ndio atakuwa mwanakamati mwenyekiti.
Mzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022
Walianza na utaratibu wa kurudi kundini na kibatiza mtoto wao wa miezi 7.
Mke wa kwanza wa Col. Metili alifariki 2021 kwa tatizo la upumuaji.
Tuwatakie ndoa njema na amani tele mzee wetu Mika na mjukuu wake huyu!
Vijana mmelaaalaaa,.laaalaaa..laaa!!!View attachment 2077421
mimi hata sikumbuki jf nipo toka mwaka ganiWeeeeeehhh mi muhenga u hunidanganyii haha!!
Usiku mwema pia .Haya usiku mwema wandugu..
View attachment 2077422
Mkurugenzi wa wapi??? Doh kumbe tunachati na wakuu wa vitengo humu!!🙆🙆😜😳
pm au hapa uwanjani?Ukituma natuma.. unaanza wewe kwanza!
Vijana hawana pesaMzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022
Walianza na utaratibu wa kurudi kundini na kibatiza mtoto wao wa miezi 7.
Mke wa kwanza wa Col. Metili alifariki 2021 kwa tatizo la upumuaji.
Tuwatakie ndoa njema na amani tele mzee wetu Mika na mjukuu wake huyu!
Vijana mmelaaalaaa,.laaalaaa..laaa!!!View attachment 2077421

Nimejaribu kuvuta tukio Kwa darubini hapa naona mwaya mwaya ni nyingi mnoPiga sebene moja amazing; utahisi Mama Mchungaji kagonga vyombo![]()
hahahaha sawa sawa mzee mwenzangu
Imeisha hiyo..mimi nitakuwa mhamasishaji watu watoe michangoHuyo dada ndio atakuwa mwanakamati mwenyekiti.
Kila mtu kwa namna yake kaumizwa na kuumizaPole inaonekana umeumizwa sana.ngoja niishi kimachale kama sungura![]()

we ishi tu kama mwanzo manake si bado unaenjoy bwana!Hapa panatosha rafiki.. ukituma nashusha kitu konki usipotuma natuma selfie za mapori yakutosha na leo njiani nimepigaje picha za kutosha matairi ya mabasi!😜😜😜 Mabango ya njiani huko mapori kama yote 🙄😜!pm au hapa uwanjani?
Bado tunayatafuta maisha Boss 😀Mkurugenzi wa wapi??? Doh kumbe tunachati na wakuu wa vitengo humu!!🙆🙆😜😳
Dah!Mzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022
Walianza na utaratibu wa kurudi kundini na kibatiza mtoto wao wa miezi 7.
Mke wa kwanza wa Col. Metili alifariki 2021 kwa tatizo la upumuaji.
Tuwatakie ndoa njema na amani tele mzee wetu Mika na mjukuu wake huyu!
Vijana mmelaaalaaa,.laaalaaa..laaa!!!View attachment 2077421
Ahaaa sawa mkuu! Atafutae hupata.Bado tunayatafuta maisha Boss 😀
Hawa wanakuwaga hawana mambo mengi.wanatufaa sana sisi tusiotaka usumbufu.sio unakuwa Na mtu anakupindisha Kona kama minyoo fulu makando kando 😩Mzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022