Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Naupenda ule wimbo wake wa sawale
kama hizo
Jamaa huu wimbo aliua[emoji119]
Naupenda ule wimbo wake wa sawale
kama hizo
Mimi naangalia tv kama extra tu.nikikaa kwenye tv basi nacheki bolu.....
Hahaha!Weeeeeeeehhhh.. yangu.
Hahahaa hutak tena hip hopNaupenda ule wimbo wake wa sawale
Jamaa huu wimbo aliua[emoji119]
Shusha nondo za prof j hapa na Mangwair tutaongea lugha moja.Najaribu kumsaidiaa asiumize kichwa mida hii na hip hop vitu smooth vinavy9tekenya moyo
Ehhhh! Ndo miziki gani hio sasa!![emoji15]Taratibuuuùuu bhasiiiiiii....nakunongonezaa...miziki ya kuongea na mioyo sio na medulla oblangata
Unataka kuninyima nini?Ya kwakee[emoji3][emoji3][emoji3]
Hujauonaaa pale juu...ngoja niutafute tenaEhhhh! Ndo miziki gani hio sasa!![emoji15]
Ebu tumuulize vizuri Saint AnneSema s.A huwa anadai picha sjui anazifanyia nini
Jizazi![emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751] Nini hiki lee[emoji854][emoji854][emoji854]Naupenda ule wimbo wake wa sawale
Jamaa huu wimbo aliua[emoji119]
Hahahahah mimi nazungumzia mida hiiShusha nondo za prof j hapa na Mangwair tutaongea lugha moja.
Hizo za wabana pua huwa siangalii[emoji38]
Nimekipenda kiatuKijaza[emoji112]View attachment 2041857
Wimbo wa mr flavour mzuri usikilizeeJizazi![emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751] Nini hiki lee[emoji854][emoji854][emoji854]
Nataka hiphop[emoji38]Hahahaa hutak tena hip hop
Yake hapana! Uliona ule upaja alotuma juzi lakini??[emoji15][emoji12]!! Upaja upajaaa!Hahaha!
Sitaki yako,nataka yake.
Usikilizee tenaNataka hiphop[emoji38]
Ila huo nilioutaja ulitikisa sana kqwnye sherehe ,,,na hauboi kuusikiliza.