GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Dah haya bana nimekaa.Unaona sasa Tatizo lako..nimekwambia kaa hapo hapo huelewi.![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah haya bana nimekaa.Unaona sasa Tatizo lako..nimekwambia kaa hapo hapo huelewi.![]()
Naona jioni hii umeanza haribu ulokole wako tuliokupa asbhMnapendeza hivyo mlivyo, kichwa kilichopunguzwa nywele ukishike tu halafu......hivi nimewazaje hapa
![]()

Anaanza kukuvurugia mipango.hem ukae kwa utulivu basi.
Natafuta usingizi Anne! Halafu ujuwe mimi nimeruhusiwa madhabahuni na mbinguni 😂😂Naona jioni hii umeanza haribu ulokole wako tuliokupa asbh![]()
Hivi ni wewe ulishasemaga unamtaka.?Anaanza kukuvurugia mipango.
Au nikutake mimi nini kusudi niipasue kabisa mipango yenywe![]()
Unajua nilipo daddyAisee!
Sema ulipo nitie mguu sasa hivi binti...
Wewe ulisikia wapi mtakatifu.batiliHivi ni wewe ulishasemaga unamtaka.?
Anajidai haoni eti huku watu wengi ule uzi gani sjui walisema wanamtaka.
Najua huwezi kunitaka, na wewe ukae tu kwa utulivu, hii dam ina tatizo mahali.Anaanza kukuvurugia mipango.
Au nikutake mimi nini kusudi niipasue kabisa mipango yenywe🤣🤣
Natafuta usingizi Anne! Halafu ujuwe mimi nimeruhusiwa madhabahuni na mbinguni![]()



Ule uzi wa kutaja member unayempendaHivi ni wewe ulishasemaga unamtaka.?
Anajidai haoni eti huku watu wengi ule uzi gani sjui walisema wanamtaka.
Kuna uzi fulani hivi nimesahau jina.Wewe ulisikia wapi mtakatifu.batili
Nadhani ni huoUle uzi wa kutaja member unayempenda
Ni nzuri kwa afya.mbona kama umekata Na shoka daddy
Watu walifunguka kwenye uzi uleNadhani ni huo
aaaaaa weeKuna uzi fulani hivi nimesahau jina.
Kuna wengi walijitokeza
🤣🤣🤣ule uzi bhana ulinifanya nifunguke sana🤣🤣Nadhani ni huo
Sio poa aise 🤣🤣najikumbuka kabisaWatu walifunguka kwenye uzi ule
Muda mwingine bora kusema ukweli tu .Sio poa aisenajikumbuka kabisa