Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Damu si tatizo , watu wanakucrush humu .Tulia kwanza basi...hakuna wa kuitwa hapa coz nna dam yangu naijua mwenyewe [emoji39][emoji39]
Damu si tatizo , watu wanakucrush humu .Tulia kwanza basi...hakuna wa kuitwa hapa coz nna dam yangu naijua mwenyewe [emoji39][emoji39]
Unajua kukataliwa hadharani inauma aisee!!Haya bhana uliona
Liverpool hao😂😂😂Usiwasemee watu Anne, kwanza we umekuwa mchokozi sana. Amekufundisha nani hizi mambo?
Ndiyo maana unamtesa mwenzioMimi pia last born ujue
[emoji23][emoji23][emoji23]hem ukae kwa utulivu basi.Liverpool hao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi nakutaka Eli?
Naelewa inavyouma nisameheUnajua kukataliwa hadharani inauma aisee!!
Halafu kuna mahali nilisoma eti ana uchibonge flani hivi[emoji23][emoji23][emoji125]Ndiyo maana unamtesa mwenzio
[emoji23][emoji23]Ndiyo maana unamtesa mwenzio
Basi hata ungenikatalia kule piemuni isingeniuma hivi...haha!Naelewa inavyouma nisamehe
Chaaa🥺Picha hii rafiki nilivyoungua .View attachment 2076196
Mule mule unamotaka😁Halafu kuna mahali nilisoma eti ana uchibonge flani hivi[emoji23][emoji23][emoji125]
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]hem ukae kwa utulivu basi.
Huyu mkongo leo kanipaka dawa nyingi ...Chaaa[emoji3064]
Picha hii rafiki nilivyoungua .View attachment 2076196
Yani inawezekana kabisa ikamkosa .Utashangaa picha inampita tena[emoji23][emoji23]
Yaani😔Huyu mkongo leo kanipaka dawa nyingi ...
Akahisi mimi nataka baby hair .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utashangaa picha inampita tena[emoji23][emoji23]
Yani inawezekana kabisa ikamkosa .
Aisee!