ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,458
- 119,085
Nimeona Ila sikupata nafasi ya kusema lolote, pole sana chibonge! Sijui wanafanyaje ili kupona Ila bwana msipeleke vichwa kwenye yale mashine jamani...Asante sana.
Nimeona Ila sikupata nafasi ya kusema lolote, pole sana chibonge! Sijui wanafanyaje ili kupona Ila bwana msipeleke vichwa kwenye yale mashine jamani...Asante sana.
Nimeona Ila sikupata nafasi ya kusema lolote, pole sana chibonge! Sijui wanafanyaje ili kupona Ila bwana msipeleke vichwa kwenye yale mashine jamani...
Mbona mnapendeza hivyo hivyo tu, zile mashine zinapunguza akili nasikiaAsante sana ..
bora umeona rafiki , tunakaa kwenye zile mashine ili tupendeze mara moja moja .

Watu wanasemaga hivyo lakini sidhani , huwa nakaa dakika 15 tu kwenye dryer .Mbona mnapendeza hivyo hivyo tu, zile mashine zinapunguza akili nasikia![]()
🤣🤣🤣unajua kuchunguza aisee😆😆😆Nahisi kama kautege flani hivikanahamasisha!
Pole wee lohPanauma balaa , nilitamani kumwambia yule mkaka acha kuosha kwa nguvu halafu ni kauzu balaa mkongo yule .
Bora unyoe au ubaki Na nywele za asili.napenda nywele za asili🥰🥰Asante nikiungua tena nanyoa tu jamani .
Hata mimi nimesikia hivyo🤔🤔🤔Mbona mnapendeza hivyo hivyo tu, zile mashine zinapunguza akili nasikia![]()
Kuwa natural raha sana , na vile style zilivyo nyingi siku hizi .Bora unyoe au ubaki Na nywele za asili.napenda nywele za asili![]()
Bora aiseHM
Ni wa kati kati![]()
📌📌🔨Kuwa natural raha sana , na vile style zilivyo nyingi siku hizi .
Ewaa, nimeuona utege flani amazing sana! Wanasema, eti.......unajua kuchunguza aisee
![]()


Mnapendeza hivyo mlivyo, kichwa kilichopunguzwa nywele ukishike tu halafu....Hata mimi nimesikia hivyo![]()
..hivi nimewazaje hapa



Aise.tuko pamoja chief.tuendelee kujenga taifa 🥂aaah salamaa tuu, hiyo adabu ndio tabia yetu kupenda sana wadada wakubwa kwaajili ya kujidekeza kutaniua, si ukuje PM walau uweke historia ya kunisalimia mara moja..
Haya malizia kwanza hii imla uliyoiacha nusuEwaa, nimeuona utege flani amazing sana! Wanasema, eti.......![]()
Umewaza Kwa mapana mno🤣🤣Mnapendeza hivyo mlivyo, kichwa kilichopunguzwa nywele ukishike tu halafu......hivi nimewazaje hapa
![]()
ndo yale ya kukataliwa salamu hadharani, haya mama taifa lijengwe mdogo mdogo tutafika...Aise.tuko pamoja chief.tuendelee kujenga taifa 🥂
MmmhMnapendeza hivyo mlivyo, kichwa kilichopunguzwa nywele ukishike tu halafu......hivi nimewazaje hapa
![]()