ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,471
- 126,716
Ewaaa...nasubiri majibu ya necta! Ila nshazoea kufeli[emoji23][emoji23][emoji23]Ombi lako linajadiliwa halmashaurini[emoji1787]
Ewaaa...nasubiri majibu ya necta! Ila nshazoea kufeli[emoji23][emoji23][emoji23]Ombi lako linajadiliwa halmashaurini[emoji1787]
Manake ni kuwa kweli bado wewe ni mdogo. Kwa akili zangu nitakukomaza kabla ya wakati.Aisee nimetoka kapa ,nieleweshe basi rafiki .
DuhManake ni kuwa kweli bado wewe ni mdogo. Kwa akili zangu nitakukomaza kabla ya wakati.
Thubutuu ushaambiwa lasiti boniAnajuaje vitu vya wakubwa wakati kashuhudia hajawa mkubwa bado[emoji23][emoji23]
Nitafunga 40 kavu mlimani sayuni kukataa roho ya kufelEwaaa...nasubiri majibu ya necta! Ila nshazoea kufeli[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati natengeneza mazingira, tupate selfie moja basi jamani...Thubutuu ushaambiwa lasiti boni
Nikiwa huku sitoagi sana selfie🤣🤣Wakati natengeneza mazingira, tupate selfie moja basi jamani...
Matron hapo ni kwa wanafunzi, nipo tayari kukupeleka kwenye kiwango chakoHiki kijiwe kimefungwa asee duuh [emoji853][emoji853]View attachment 2076100
UmezinguaNikiwa huku sitoagi sana selfie[emoji1787][emoji1787]
Kwanini tena jamanUmezingua
unanitenga kalumbu.....balimi ya 3 inakuaga tamu sana[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kalumbu umepotea sana humu aseee [emoji3064][emoji3064]
Nilizimiss Balimi hatimaye leo nimezifuma kipande hii maana sehemu nyingi hawaziuzi siku hizi hasa Dar [emoji39][emoji39]View attachment 2076097View attachment 2076098View attachment 2076099
wapi huku kalumbuKalumbu umepotea sana humu aseee [emoji3064][emoji3064]
Nilizimiss Balimi hatimaye leo nimezifuma kipande hii maana sehemu nyingi hawaziuzi siku hizi hasa Dar [emoji39][emoji39]View attachment 2076097View attachment 2076098View attachment 2076099
shukran mkuu wangu..Asante mkuu Na kwako pia.Mungu akulinde
[emoji85][emoji85] [emoji125][emoji125]I can't you [emoji114][emoji114][emoji114]
Haha mie Ni mtu wa hovyo hovyo tuMmh! Naona kazi maalumu, mtu maalumu
Kalumbu ni naniwapi huku kalumbu
Si kweli japo kule UDOM kuna hadi Mabasi yanayokodiwa na wanafunzi kwa ajili ya kuwapeleka hapo tu! Lakini hata hivyo marafiki zangu wengi wa Dodoma ni wanafunzi wa UDOM!Matron hapo ni kwa wanafunzi, nipo tayari kukupeleka kwenye kiwango chako
Hahaa Kalumbu mimi siyo mlevi mimi mnywaji ujueunanitenga kalumbu.....balimi ya 3 inakuaga tamu sana[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]