Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutawasiliana nkamu
Kaka 9.8ms squared kama bado uko Dodoma kesho tuonane basi. Kesho ni serious kabisa sikutanii. [emoji846][emoji846]

Dada Heaven Sent kama upo na ukiwiwa naomba nikuone Morogoro nikiwa narudi Dar. Nitashukuru sana. [emoji120][emoji120]

Dada Makiwendo na wewe ukija Dar ukipata muda naomba tuonane tafadhali. Maana siyo kwa kukumiss huku. [emoji3064][emoji3064]
 
Sema "daddy ERoni nikija shamba tuonane basi" (shamba ya milimani)
 
Back
Top Bottom