Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Halleluyaibada timeView attachment 2074385
Halleluyaibada timeView attachment 2074385
Kikubwa Kristo anahubiriwa 😊😊😊
Mzima mwanangu. Natoka Leo kimtindo hahahah. Will not be hear for not less than 15 days.Fresh tu mzima![]()
AmenKikubwa Kristo anahubiriwa![]()

Uniombee kaka yako
Si uliniambia utakuwa kisiwa mkuu???ununio
Nimewaombea woteUniombee kaka yako
Jiwe gani hilo??
Umemuombea na mama???Nimewaombea wote
Tumeiombea na Tanzania.
Huyo sasa tunamuachaje?Umemuombea na mama???
Mahali hapo ni pazuri kama nini😍.
kuanzia kesho ktk nusu fainali na fainaliSi uliniambia utakuwa kisiwa mkuu???
Mahali hapo ni pazuri kama nini😍.
Mimi naabudu popote,huku niliposali leo ni karibu na ninapoishi...Mungu akinipa neema basi naenda kanisani kwangu japo ni parefu.
Hivi ndio ushakataa mazima kunipeleka huko eeh🤦♀️?
Kwa kweliHuyo sasa tunamuachaje?
Maana ndiye kichwa cha Tz ,akiharibu basi Tz imekwisha.
Tumemuombea Mungu ampe hekima na watu sahihi wa kumshauri.
Somo lilikuwa ni uwezo wa kufanya maamuzi mazuri.
Jamani sijakataa..Hivi ndio ushakataa mazima kunipeleka huko eeh🤦♀️?
Kila la kheri mkuu.kuanzia kesho ktk nusu fainali na fainali
Umesahau kama ulikataa?Jamani sijakataa..View attachment 2074642View attachment 2074643
😔😔😔 Sikuwepo tu.. na hata hivi kesho naondoka tenaaa nilikuja leo tuUmesahau kama ulikataa?