Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Nashukuru kwa kunimiss miss you too friends!Asante sana, tume kumiss lakini.
Nashukuru kwa kunimiss miss you too friends!Asante sana, tume kumiss lakini.
Hivi hii kwaya bado ipo jamani?Barabara ya 13,Ulyankulu
Ndio zangu hizi
Asante, uko freshi lakini?Nashukuru kwa kunimiss miss you too friends!
Niko njema sana rafiki hofu ni kwako wewe ulie mbali!!Asante, uko freshi lakini?
Kwa mfano ndio imetokea ndie ulie chaguliwa awe wako utafanyaje na hali huko hivyo.Mimi napenda kuwasifia tu ila kuwa nao kwenye mahusiano hapana kwa kweli. Wagumu wagumu ndio wenyewe.
Niko njema sana rafiki hofu ni kwako wewe ulie mbali!!


hofu na mashaka ni kwako wewe, ni nipo karibu tuu
Hivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?
Ondoa shaka huku mambo ni bien, kama ivo pamoja sana mkuu!hofu na mashaka ni kwako wewe, ni nipo karibu tuu
Si tulielewana mpaka uselfike?Wee msukuma Shimba Ya Buyenze hujalala tu??
Njoo yapitie, nakusubiriVipi niyapitie! Nina hamu nayo!!![]()
Hahaa.. hapana tulisema ulale kwanza.Si tulielewana mpaka uselfike?
Arusha na MbeyaHivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?
Mbeya pia ipo.Hivi kuna mkoa mwingine wenye nane nane zaidi ya Morogoro?