Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna kitambi bhana wee, hebu weka nione mie hapa.Ya kitambi???[emoji1787] Hahaa[emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
Ma-handsome wana rahaNaanzaje sasa kukunyima mr Handsome
Yaani hata ukisema nikuletee na hili jua nakuja tu.
Wee kakitambi kapo bana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna kitambi bhana wee, hebu weka nione mie hapa.
Leo weekend wapi maeneo? Wengine tunajiandaa na match ya ugenini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee kakitambi kapo bana!
Mgalilaya kakamatwa na Mnazaleti 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi jioni uniletee aise ili usiteseke na jua.Naanzaje sasa kukunyima mr Handsome
Yaani hata ukisema nikuletee na hili jua nakuja tu.
Sekunde nyingi, muwe na shukrani asee.. 🤕🤕[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaView attachment 2073589
😂😂😂😂😂Ma-handsome wana raha
Auntie kunani ![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu awape nini..
Ila mimi siwataki aisee,,mwanaume anakuwa mzuri kuliko mimi hapana kwa kweli.
🙈🙈Ma-handsome wana raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu awape nini..
Ila mimi siwataki aisee,,mwanaume anakuwa mzuri kuliko mimi hapana kwa kweli.
Sawa usijali.Itabidi jioni uniletee aise ili usiteseke na jua.
Kwa mfano nikachanganya damu na yule mdogo wako aisee natoa kachotara flani ka chocolate.Acha tuchanganye damu watoto watoke wa-cute[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo memes jaman mweeeehMgalilaya kakamatwa na Mnazaleti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heaven Sent Ona wanavyotujaza 😂Mdada nikiona anakitambi akili inahama kabisaaa.. ila wenye vitumbo kama rula kama nyoka nawaoneaga sana huruma.. nahisi watakuwa wagonjwaa eeeh 🙄🙄🙄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa wee acha uongo wako hapa.Sekunde nyingi, muwe na shukrani asee.. [emoji856][emoji856]
Kwa mfano nikachanganya damu na yule mdogo wako aisee natoa kachotara flani ka chocolate.
Sema Pep ataniphotolea tuchotara matata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu awape nini..
Ila mimi siwataki aisee,,mwanaume anakuwa mzuri kuliko mimi hapana kwa kweli.