Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kitambi mpakato eeh? Ni asili tu ya mwili wako i guessWengine tunakosea wapi kwani? Hizi holiday nimejitahidi kula sana matokeo yake nikikaa napakata tumbo.
Kitambi mpakato eeh? Ni asili tu ya mwili wako i guessWengine tunakosea wapi kwani? Hizi holiday nimejitahidi kula sana matokeo yake nikikaa napakata tumbo.
😁😁😁 au ikatokea tumegongana lazima uvimbe, kama chuma cha pua vileMungu aniepushe na mkanyago wako khaaa![]()
Ila kwa hizi ngonjera za huyu bibi wacha nikapike hata keki niwe natafuna mdogomdogo.Kajilazimishe
Eti mpakato!Kitambi mpakato eeh? Ni asili tu ya mwili wako i guess
Jizaziiiau ikatokea tumegongana lazima uvimbe, kama chuma cha pua vile
sio kaka mimi mwenyewe nahusika hapo, kule kwingine pia yuko safi!?..




Kakule tu. Angalia usije ukaishia kupata vidonda vya tumboIla kwa hizi ngonjera za huyu bibi wacha nikapike hata keki niwe natafuna mdogomdogo.
Yaani anaongea hapa![]()
Eeh ukikaa unakuwa umelipakata na tumboEti mpakato!
Nyie watu![]()
Chalii ya Agano JipyaKaingizo gani hako jameni![]()
hahaha niko serious na hiyo fursa hebu nipe majibu..
Kachalii ka galilaya😅😅😅Chalii ya Agano Jipya
Msomeshe kwanzahahaha niko serious na hiyo fursa hebu nipe majibu..

Braza naona unampiga na vitu vizito sista wa parokia ya Iyunga 😅😁😁😁 au ikatokea tumegongana lazima uvimbe, kama chuma cha pua vile
ili aje anisababishie murder case hunitakii mema wewe..Msomeshe kwanza![]()
😂😂😂😂 kwani nasema uongo sasa, mie ni pure IronBraza naona unampiga na vitu vizito sista wa parokia ya Iyunga 😅
Karibu PM. 🙈🙈😂😂We kaka naomba namba zako, kuna kitu nikwambie 😂
Na kg 43 kweli? 🤣🤣🤣 natakiwa kufanya kitu HS, hii sio sawa.Kitambi mpakato eeh? Ni asili tu ya mwili wako i guess
Naona walikupeleka Golgotha teh. Uache utunduKachalii ka galilaya![]()