Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jomoneeeh Mie nimepewa kila kitu, ila dimpoz tyuuh nimenyimwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikiwa mkubwa wallah ntatafuta pesa lazima niende ughaibuni nikaweke dimpoz, Dimpoz nazipenda sana, ktk kizaz chetu watoto 4 wana dimpoz. Mie nimenyimwa. [emoji24][emoji24][emoji24]
Pole[emoji23]

Watoto tupo 5,watatu tunazo___wawili hawana[emoji23]

Urithi kwa mama kipenzi
 
Ukiwa mnyonge kinakunyongesha. Kwa sisi makauzu; unatia tu high waist afu unajifanya hukioni, unajikuta Saint Anne na wewe. Na venye hakiumi wala hakiwashi khaaaa
Mdada nikiona anakitambi akili inahama kabisaaa.. ila wenye vitumbo kama rula kama nyoka nawaoneaga sana huruma.. nahisi watakuwa wagonjwaa eeeh 🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom