Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Unafikiri ambao age imekata tunasema? Tupo tunapambana na vinguo na viskuna na kina Anne.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaaa... mie age imekata sanaaa.. huenda nimekuacha mbali sana.. sema. tu mwili wangu haujawai niacha salama.. umeisha stuck [emoji23][emoji23]