Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Coffee time
-Americano
IMG_20220105_181052.jpg
 
Naona jana baada ya mastory yenu mlienda kuzipunguza eeeh! ama kweli kwenye njaa mpe kushiba anatuliaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kijana wa hovyo, akuuuuh mie hata huwa sifanyi mambo ya wakubwa, bado mtoto mie.
Eti shos mahondaw mie c mtoto? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nilikunywa robotatu kikombe baada ya masaa niliongea kingereza na kila anaeniongelesha namjibu kingereza [emoji1787]! Leo tena ngoja nione itaifanya nini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaongea kichina sasa.
 
Back
Top Bottom