Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Nawee tupia selfie basi rafiki!hahahaha
Nawee tupia selfie basi rafiki!hahahaha
Ni ajabu hata mwenye dawa haijui ni mmea ganiHapana mkuu hayaonekani vema
Naonaga tu vikiwa vibichi wengine wanatafuna huku wakiambatanisha kutafuna na pk...Ni ajabu hata mwenye dawa haijui ni mmea gani
hahaha anko job.kajisahau khs mhimili uliojichimbia mizizi nguvu yake
Mirungi! SidhanNaonaga tu vikiwa vibichi wengine wanatafuta huku wakiambatanisha kutafuna na pk...
Life la bush tamu sanaaHahahaaa...ambao hawajakaa na bibi zao vijijini hawawezi jua dawa za kienyeji!
Hahahaaa...ambao hawajakaa na bibi zao vijijini hawawezi jua dawa za kienyeji!
Hio nguna itayeyuka kwa kasi ya 5G mayai hayajawahi kuwa mboga 😅😅😅Nguna pro maxView attachment 2069443
Hahaha..nimekwea sana miembe!!!
Midodo au Miboribo 😂😂😂Hahaha..nimekwea sana miembe!!!
Ningekuwa nakaa tu chini ya mti 😊😊😊Hahaha..nimekwea sana miembe!!!
mazoezi eeh.. safi
Yote.. embe tanga,, dodo, boribo, embe sindano,, nimekwea sana mikwaju, mkaratusi, mikorosho minazi..aisee nilikua mtundu sanaaaa!Midodo au Miboribo![]()
Basi kama umekweya hiyo hakuna mti utao shindwa kwea.. 😂😂Yote.. embe tanga,, dodo, boribo, embe sindano,, nimekwea sana mikwaju, mihatatusi, mikorosho minazi..aisee nilikua mtundu sanaaaa!
Hahahaaa.. ilikua mtu anaweka kioo chini...kama hujui kupanda ilikua unasukumwa na mwenzio anakushika kiuno anakusapot ukwee kisha anakusukuma kwenye matako uende juu zaidi hadi ushike matawi ya mtiNingekuwa nakaa tu chini ya mti![]()
😂😂😂😂 sijui nilikuwa wapiii aseee.. watoto wenzangu hawakutumia fursa ya ubaba na mama 😂😂😂Hahahaaa.. ilikua mtu anaweka kioo chini...kama hujui ilikua unasukumwa na mwenzio anakushika kiuno anakusapot ukwee kisha anakusukuma kwenye matako uende juu zaidi hadi ushike matawi ya mti