Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
naomba picha yakeDuh mwendo wa Ndugai sasa![]()
naomba picha yakeDuh mwendo wa Ndugai sasa![]()
Af sikia bhana wewe..acha kuleta habari za Machester United humu snap.





Yeah kapaastad
Ni nini hio mkuu? Mboga ya majani au dawa ya kienyeji?Ntaichemsha badae coz nna kazi nayo usiku!]View attachment 2069527
Dawa ya kienyeji! Kweli Huijui hii kitu mkuu???!!!!Ni nini hio mkuu? Mboga ya majani au dawa ya kienyeji?
Kwa kweli siijui ndio maana nimeuliza.Dawa ya kienyeji! Kweli Huijui hii kitu mkuu???!!!!
Hapana ...nimeambiwa inatibu magonjwa mengi mengi mwiliniKwa kweli siijui ndio maana nimeuliza.
Ni ile ya kujifukiza ama?
Ooh! Sawa sawa.Hapana ...nimeambiwa inatibu magonjwa mengi mengi mwilini
Ni mchanganyiko au ni mmea mmoja?Hapana ...nimeambiwa inatibu magonjwa mengi mengi mwilini
Mmea mmoja! Nawe pia huijui hii???!!!Ni mchanganyiko au ni mmea mmoja?

Naona jana baada ya mastory yenu mlienda kuzipunguza eeeh! ama kweli kwenye njaa mpe kushiba anatuliaaa 😂😂😂😂
Sioni vizuri sijawa Mshana Jr ad nijue dawa zote za kienyeji nisaidie jina lakeMmea mmoja! Nawe pia huijui hii???!!!![]()
Kwanini unasema hivo ???Naona jana baada ya mastory yenu mlienda kuzipunguza eeeh! ama kweli kwenye njaa mpe kushiba anatuliaaa![]()
Kijana wa hovyo hovyo nawe huijui hii???Sioni vizuri sijawa Mshana Jr ad nijue dawa zote za kienyeji nisaidie jina lake
Hebu iweke picha ya uo mmea ukiwa mbichi isijekuwa ni bangi@Kijana wa hovyo hovyo nawe huijui hii???