Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
just utani😊😊😊😊Kwanini unasema hivo ???
just utani😊😊😊😊Kwanini unasema hivo ???
Nimeletewa ikiwa imekauka hivo! Nimeambiwa badae niichemsheHebu iweke picha ya uo mmea ukiwa mbichi isijekuwa ni bangi
Ndio zimetukuza hizo 😊😊Kijana wa hovyo hovyo nawe huijui hii???
Hahahaaa...Ndio zimetukuza hizo![]()
Kwahiyo jina lake hulijui kabisaNimeletewa ikiwa imekauka hivo! Nimeambiwa badae niichemshe
Ndio silijuiKwahiyo jina lake hulijui kabisa
Au ni vile vinyanya pori, vile vidogo?Ndio silijui
Kuna siku nilikunywa robotatu kikombe baada ya masaa niliongea kingereza na kila anaeniongelesha namjibu kingerezaHebu iweke picha ya uo mmea ukiwa mbichi isijekuwa ni bangi
! Leo tena ngoja nione itaifanya nini..Hata najuaaaa basi eti ni dawa nzuri ya magonjwa mengi sana !Au ni vile vinyanya pori, vile vidogo?
Weekend inaendaje asee.. Chakorii sijamuona au ndio kaisha ingia mwanza 😊😊Hahahaaa...
Nmeona huo ujumbe ndio maana nimeshawishika kupata utambuzi wake.Hata najuaaaa basi eti ni dawa nzuri ya magonjwa mengi sana !
Ujumbe gani??Nmeona huo ujumbe ndio maana nimeshawishika kupata utambuzi wake.
Hahahaaa...ambao hawajakaa na bibi zao vijijini hawawezi jua dawa za kienyeji!Jumatano ndio viwanja vinawaka, namsubiri Chakorii nitampeleka kiwanja kimoja mwanza.. Jumatano huwa kinawaka kuliko hata ijumaaa.. hizo dawa watoto wa. mjini watazijulia wapi
Wewe ambae umekaa nae kigoda kimoja naona unazijuaHahahaaa...ambao hawajakaa na bibi zao vijijini hawawezi jua dawa za kienyeji!


Mkuu huijui jina ya hiyo majani ?Hahaha
Ya kuwa ni dawa, we msahaulifu sana bora tu uchemshe utumie kabla haujasahau.Ujumbe gani??