Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Unasadifu na inaenda kuwa realNakuelewa Mkuu
Kumbe avatar inasadifu![]()
Unasadifu na inaenda kuwa realNakuelewa Mkuu
Kumbe avatar inasadifu![]()
Mwisho upi tenaKweli siku za mwisho watu habari za Mungu wana zi ignore

Aya bwana uote ndoto njema
Injili popote.Nilidhani hapa
Nitaona hips
Nitaona macho malegevu
Nitaona miguu ya bia
Nitaona bastola na vitovu
Fanya hivi nikaribishe huko jukwaa la dini
Hapa sio
Binti sayuni
Mwisho wa dunia au kiyamaMwisho upi tena![]()
Asante nakwako pia ...usiku mwema !Aya bwana uote ndoto njema
Hata kama hataki mpe tu, neno ni upanga unakata nyama mpaka mafutaInjili popote.
Jukwaa la dini la humu ni uwanja wa watu kuonyesha ubora wao wa kutukana na kukejeli.
Kwahiyo hutaki Neno niishie hapa?
Kama nasinzia hiviInjili popote.
Jukwaa la dini la humu ni uwanja wa watu kuonyesha ubora wao wa kutukana na kukejeli.
Kwahiyo hutaki Neno niishie hapa?
Kesho nitakuamshaAsante nakwako pia ...usiku mwema !

Picha tafadhaliMbona unanifungisha ndoa Kwa Extrovert ya lazima aise![]()
Watu hamsahau jaman 🤪😂😂😂😂😂 saivi tunasubiria ya chakori tumeambiwa tuoge tuvae nguo nzuri kabisa! Ndo nakuuliza ushaoga wewe??
Niishie hapa hutaki tena kusikiliza??Kama nasinzia hivi
Sawa ngoja nilale kidogo
Si u zen
Ametukalisha kwenye kochi tokea saa nnePicha tafadhali
Fanya hivyoNiishie hapa hutaki tena kusikiliza??
ImajiniAmetukalisha kwenye kochi tokea saa nne
Fanya hivo aseeh!Kesho nitakuamsha![]()
Acheni basi ukuda hebu kaogeni tafadhali 😂Tunasubiria ya kwako aisee we ndio imetangulia kuahidi, tena bila masharti. Yule asipotuma anaweza kujitetea hatujatimiza masharti.
Sawa mkuu nimekuelewaFanya hivyo
Naam ishia hapo kabisa kabisa
.NishakaukaAcheni basi ukuda hebu kaogeni tafadhali![]()