Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Haha.. ushaoga lakini??😂😂😜😜Hatujasahau japo muda unasonga!
Haha.. ushaoga lakini??😂😂😜😜Hatujasahau japo muda unasonga!
Sawa, ila siwezi kuharamisha kisicho haramishwaBasi usiwaingize mkenge wenzio kujaribu kuhalalisha ulevi.
umekonda sana my wanguUsiku mneneView attachment 2066552
Kuoga tena!Haha.. ushaoga lakini??![]()
Kuoga tena!
Stress unazonipa ndogo ila nafurahia sana mwili huu mazoezi hayoumekonda sana my wangu
Ndio matatizo ya kujichukulia tu verse na kujipachikia sehemu pasi na kusoma kitabu kizima.Acha ukorofi
Wasi waambie waendelee na ulevi.Sawa, ila siwezi kuharamisha kisicho haramishwa
Ni mableMkuu hii meza umei furnish vipi hio top
Hapana ya Mama yanguBirthday yako nini
ni ujana tu,umri ukienda nitatulia tulee watoto🙃,mi napenda ulivokuwa wakati ule hasa ukivaa deraStress unazonipa ndogo ila nafurahia sana mwili huu mazoezi hayo
Oooh siutaki mwili ule nilikuwa nakimbilia kilo sawa na gunia😀😀ni ujana tu,umri ukienda nitatulia tulee watoto🙃,mi napenda ulivokuwa wakati ule hasa ukivaa dera
Tunasubiria ya kwako aisee we ndio imetangulia kuahidi, tena bila masharti. Yule asipotuma anaweza kujitetea hatujatimiza masharti.saivi tunasubiria ya chakori tumeambiwa tuoge tuvae nguo nzuri kabisa! Ndo nakuuliza ushaoga wewe??
si nipo hapa wa kukubeba Mama yangu,nenepa tuu,Oooh siutaki mwili ule nilikuwa nakimbilia kilo sawa na gunia😀😀
Hahahaaa...! Soon natupiaaaa🤸🤸🤸🤸!!Tunasubiria ya kwako aisee we ndio imetangulia kuahidi, tena bila masharti. Yule asipotuma anaweza kujitetea hatujatimiza masharti.
Hongera sana kwakeHapana ya Mama yangu
Kwa kweli hapana ni mazoezi na kuacha kula ovyosi nipo hapa wa kukubeba Mama yangu,nenepa tuu,
mwenzio eti leo siku nzm nimekula chips moja tu na wine ,kitambi kitapungua tuuKwa kweli hapana ni mazoezi na kuacha kula ovyo
Hakuna vya bure
Lazima upambane kukodoa macho hapahapa ili usipitwe



sasa hapost tena huyo mama malezi.