Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Mi naongeaga ukweli daimaKumbe unaongea hivo!!Hakuna haja bana nishatupia nyingi sana humu!!
Mi naongeaga ukweli daimaKumbe unaongea hivo!!Hakuna haja bana nishatupia nyingi sana humu!!
Unao muda?Binti sayuni
![]()
Kipi ni kipi mkuu! 😳Irudiweeee isirudiweee??! Mpaka nimehisi usingizi 🚶🚶🚶🚶😴😴😴😴Mi kwa kua nimeona nimeridhika ,usiporidhika kidogo hata kikubwa huridhiki, lakini kizuri kula na wenzio aisee, ikupendeze urudie tu
RudiaKipi ni kipi mkuu!Irudiweeee isirudiweee??!
Wakati nikienda kanisaniUnao muda?
Basi hongera.
Ila mimi nakuambia muda huo wa kucheza na shetani hauna..ndio muda huohuo Mungu anakuhitaji katika kazi zake.
Rudia kwa heshima na taadhimaKipi ni kipi mkuu!Irudiweeee isirudiweee??! Mpaka nimehisi usingizi
![]()




Unasubiri umuone kwa macho ya nyama?Wakati nikienda kanisani
Wale wahubiri walisema Yupo
Sijawahi kumuona
Naamini ipo siku nitakutana nae
Binti sayuniUnasubiri umuone kwa macho ya nyama?
Na unataka umuone ukiwa wapi??

Natamani ningekuwa mimi!Binti sayuni
Mbona hivyo
Yaishe bhas
Kwahiyo mpango wa kuokoka hauna?Binti sayuni
Mbona hivyo
Yaishe bhas
Uhondo wamekosa wale mi nimepata clear.Haya nilituma hio hapo baada ya kufuta nikascreenshot!
Hio ni edited og mlishapitwaa!!View attachment 2066615
Nilidhani hapaKwahiyo mpango wa kuokoka hauna?
Unacheza kwanza na shetani??
Una uhakika gani kama kweli muda bado unao?
Haha na wamepitwa kweli make og ndo iko mwakee!🤭🤭Uhondo wamekosa wale mi nimepata clear.
Nipe kibarua basi cha kunanilii
AngalauHaya nilituma hio hapo baada ya kufuta nikascreenshot!
Hio ni edited og mlishapitwaa! Og niliomba mwenye shaver mpya karibu!View attachment 2066615
Wachaa!Haha na wamepitwa kweli make og ndo iko mwakee!![]()
Hakika nimependa colour, sijui ndio wanasema ya mtume sijuiHaha na wamepitwa kweli make og ndo iko mwakee!![]()
Hahaa nakutania mkuu! Mi kwa utani utaniweza!Wachaa!
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴Hakika nimependa colour, sijui ndio wanasema ya mtume sijui
Nakuelewa MkuuHahaa nakutania mkuu! Mi kwa utani utaniweza!

Kweli siku za mwisho watu habari za Mungu wana zi ignoreNilidhani hapa
Nitaona hips
Nitaona macho malegevu
Nitaona miguu ya bia
Nitaona bastola na vitovu
Fanya hivi nikaribishe huko jukwaa la dini
Hapa sio
Binti sayuni